Ngoja tuone kama vile Vipeperushi (aka magazeti) ya musiba yataandika juu ya huo upotevu na hasara ya mabilioniYale magazeti uchwara nayo yanathubutu kuandika hii hasara ya ATCL?
Kwahiyo mwamposa mbuni?😩🏃Hivi ni mbuni gani aliyeanzisha jina la Tingatinga sijui Bulldozer???
Hahhahahahahaa we umevutugwa toka tufiwe nakuonaa😁Kwahiyo mwamposa mbuni..!??😩🏃
Mimi nimevurugwa ila wewe umechizika kabisaa,sio wa kumuita mtume wa wenyewe mbuni jamanii khaa....😆😆Hahhahahahahaa we umevutugwa toka tufiwe nakuonaa😁
Hvi kumbe ndo yeye..bas mie nilijuaga wathungu ndo wanamwita hivyo lol...na ndo huyu jana amesema tudange tu kama mume hasomeki🤣🤣🤸♂️🤸♂️Mimi nimevurugwa ila wewe umechizika kabisaa,sio wa kumuita mtume wa wenyewe mbuni jamanii khaa....😆😆
Ccm wanafigisu..yaan mchana unacheka naye usk wanakuchoma..wachawi kbs ccmIla wamewai sana kuonesha madhaifu yake
Kashakanusha hilo jomonii 😂Hvi kumbe ndo yeye..bas mie nilijuaga wathungu ndo wanamwita hivyo lol...na ndo huyu jana amesema tudange tu kama mume hasomeki🤣🤣🤸♂️🤸♂️
Weee..kuwa wamemnukuu vby..hahaa ..alitisherrrKashakanusha hilo jomonii 😂
Nao wanaangalia matumbo na familia zao tu hakuna wakusema ukwel wala kukosoa ata kama ataona makosa yanafanyika mbele yake atayapigia makofi na vigeregere ili aendelee kufaidikaCcm wanafigisu..yaan mchana unacheka naye usk wanakuchoma..wachawi kbs ccm
Shida iko hapo ukisema ujitenge nao kifo kinahusu..yaan ukisikia ugaidi uko CCMNao wanaangalia matumbo na familia zao tu hakuna wakusema ukwel wala kukosoa ata kama ataona makosa yanafanyika mbele yake atayapigia makofi na vigeregere ili aendelee kufaidika