kwaku the traveler
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 218
- 586
- Thread starter
- #141
Nilifanya hivyo kutoka nami niendane siyo kwa ubaya kuwa nawaiga, hata nilikuwa sijui kazi zao wanaenda na kurudi nawaonaBora mara kumi iwe na hy idea ya kutoka nje hata ili tuu uendane na majirani kuliko kukaa tuu ndani bila ishu yoyote, kumbuka akiwa huko nje anaweza kubahatisha chcht kuliko akiwa ndani tuu
Hila nami kutoka ilinisaidia nikakutana na tangazo la kazi ya Msimu nikaenda interview nikapita, nikafanya kwa msimu ukapoisha nikasevu kidogo nikaanzisha mradi wangu mdogo, kwahyo nje kutoka kulinisaidia