Hakuna kitu naogopa kama kumgharamikia Mwanamke vitu vya gharama

Hakuna kitu naogopa kama kumgharamikia Mwanamke vitu vya gharama

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,081
Habari za Jumapili wana JamiiForums km kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mimi hakuna kitu naogopa kama kumgharamia mwanamke vitu ghali

Kuna mwaka mmoja niliwah kutana na msichana mmoja jina kapunj huyu dada alikuwa bikra kabisa na niliitoa mm sasa siunajua maneno ya mtaan oooh bikra awez kukuacha aaah mwanaume nikajitia najua kupenda sn nikamnunulia viatu vya laki na nusu increingly shoes vile vya kuinuka vile tena cha ngoz very stable nikampatia km zawad wakati kidume mwenyewe sijawah vuka laki kwenye viatu

Mambo yakaenda bwana demu si akaanza kubadilika nikaanza kumchunguza aisee saa kuna siku alikuwa anatoka kavaa zile skuna zangu na jeans na brauz ambazo zote nilimnunulia mm sikumuita nilimuacha mm nikiwa namfuatilia nyuma

Sasa kuna kona kichorochpro kimoja alikata nikaenda kuchungulia nikakuta anapigwa denda aisee nilipigwa na butwaa aliponiona akajitia kuacha kusogea mbal na yule mshikaj lkn ilikuwa too late nshaona kila kitu

Akaongeza mwendo kurud nyumban kwao sikumfatwa nikasepa nikamchek kwenye simu sms km kawaida hajibu simu hapokei nikamwambia leo niikija kwenu nikute viatu vyangu na vitu nilivyo kununulia umefungasha na mm nilikuwa nimeshakusanya vinguo alivyoninunulia maana zilikuwa hazifiki ata sh 5000 na nilikuwa navaa ili kumridhisha lkn nilikuwa sivipend ata yy anajua nikafika kwao nikampa dada fulan nikamwambia mpe ntu fulan akepeleka

Cha ajabu ikawa ngumu kwake kunipa vile viatu nilivyomnunulia eti anadai kitu kikienda kwa mganga hakirud nikampiga beat hilo nahisi huko ndan makende yote yalitikisika akasema nije nichukue nilikuwa nshaondoka nikamwambie ntakuja kuchukua next week nikamwambia km anaweza achukue hvo vitu nilivyomnunulia avichome moto au aviharibu kisha anitumie picha

Japo baadae nilikaa sehemu na washikaj tukapiga stor mbili tatu wengi walinishauri nimwachie tu hvo vitu japo alichofanya sio sawa kuvaa vitu alivyoghalamikia nwingine afu unaenda kujifanya sista duh kwa mshikaji mwingine sikuongea nae tena hadi leo
 
Una uhakika kama hajawahi kufanya oral sex hadi useme wewe ni wa kwanza kama hata kuna umuhimu wowote ule kuwa wa kwanza au sijui 6 ? Kuna baadhi ya mademu wanapenda sana oral sex tu yaani kunyonyana tu ndo furaha yake sasa una uhakika huyo wako hajawahi hata kumyonya mtu na yeye kunyonywa pia ?
 
Hata hiyo bikra ulipigwa, huyo watu walishafungua gate hilo kitambo alikuona wewe mshamba fulani hivi ndiyo kakubaba tiza na tomato sauce, hilo papuchi ni bwanga kabisa aliweka shabu na kukubania bania miguu mzee ukajua unakata seal.
 
Invest what you can afford to lose....

Amini nakwambia shukrani ya punda ni mateke kweli


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu kijana atakuwa mnyakyusa kwa kabila ,kuna shemeji yangu alishawahi kufanya hivyo,
 
N
Hata hiyo bikra ulipigwa, huyo watu walishafungua gate hilo kitambo alikuona wewe mshamba fulani hivi ndiyo kakubaba tiza na tomato sauce, hilo papuchi ni bwanga kabisa aliweka shabu na kukubania bania miguu mzee ukajua unakata seal.
Aliondoka anachechemea na damu zilitoka nying tu yaan ni real virgin co ya kutengeneza
 
Hata hiyo bikra ulipigwa, huyo watu walishafungua gate hilo kitambo alikuona wewe mshamba fulani hivi ndiyo kakubaba tiza na tomato sauce, hilo papuchi ni bwanga kabisa aliweka shabu na kukubania bania miguu mzee ukajua unakata seal.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji115] muhuni kawekewa shabu akajua kitu bado hakijatumika
 
Kama tu umemnunulia viatu tu vya laki vinakutoa roho. Wakati wewe pia ulikuwa unamfaidi,vipi zile nyege zako ulizokuwa unamalizia kwake. Je ukioa itakuweje?. Mfano umeoa mke ni mama wa nyumbani tu,wakati unamuoa wote ndio mlikuwa mnaanza maisha,baadae mkafanikiwa maisha mkawa labda na magari na nyumba,baadae mnaachana,utamwambia aende bila kitu wewe

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom