Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Huwa wanasema hujafa hujaumbika. Wacheke tu mpaka siku ajali ifanye huo mdomo wa kuchekea ukose fizi ukiwa unacheka sauti iwe kama trekta lisilo na oil ndo utaelewa kuwa hawakujiumba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee jamaa unafikiria nini?