Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Huwa wanasema hujafa hujaumbika. Wacheke tu mpaka siku ajali ifanye huo mdomo wa kuchekea ukose fizi ukiwa unacheka sauti iwe kama trekta lisilo na oil ndo utaelewa kuwa hawakujiumba.
Hapendi hela[emoji3064]itakuwa wanaongelea mwanamke wa sifa hizi[emoji116]
[emoji117]anataka mwanamke 8figure,
[emoji117]macho ya mdoli
[emoji117]lips denda
[emoji117]kiuno nyigu
[emoji117]makalio ya kajala
[emoji117]mguu wa bia(zari th bosi)
[emoji117]saut ya kumtoa chatu pangoni( wema sepenga)
[emoji117]kabeby face( lulu maiko)
[emoji117]chuchu sa5;59 approximately= saa6:00
[emoji117]mwenye mwanya, dimpoz,& kidoti
[emoji117]rangi ya mtume( chocolate colour, black beauty)
[emoji117]bikra[emoji28][emoji28][emoji28]( hapa japo sio sana)
mwisho wa yote awe hapendi hela na yuko single[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23].......
Manipulator!Mbona uzi huu unaonesha kama unahasira za kukataliwa na huyo demu
Grow up my dear maneno kama haya yanasemagwa na wanaume wasojiamini,wenye msongo wa mawazo,na wenye matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume akishatongoza mwanamke akamkataa ndo uanza kusema ni mbaya lengo ni kumdhoofisha mwanamke aone kama huyo jamaa anamfanyia hisani kumtongoza
Ni wewe pichani? Kama ndiyo kwa nini umevua viatu? Kama hapana weka picha yako.Mbona uzi huu unaonesha kama unahasira za kukataliwa na huyo demu
Grow up my dear maneno kama haya yanasemagwa na wanaume wasojiamini,wenye msongo wa mawazo,na wenye matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume akishatongoza mwanamke akamkataa ndo uanza kusema ni mbaya lengo ni kumdhoofisha mwanamke aone kama huyo jamaa anamfanyia hisani kumtongoza
😂.. nimewaonea huruma hao mabinti...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee jamaa unafikiria nini?
Hakuna kitu rahisi kama kutongoza mwanamke mrembo na mwenye mvuto, wanawake ambao hawana mvuto huwa wamezungukwa na wanaume wanaojiamini sana kwa sababu huwachukulia kawaida.
Wanawake pisi kali wamezungukwa na wanaume ambao hawajiamini na waoga, mimi najiamini sana pale nikiona pisi, kwa sababu najua kabisa ushindani ni mdogo.
Mbaya yuko vipi?Kumtongoza demu mbaya ni rahisi kinoma ani unampeleka unavyotaka hata akikataa unamcheka tu
Sijawahi ona demu mbaya.Ila tabia ndo naweza kuzisemea katika kikao cha keshoKumtongoza demu mbaya ni rahisi kinoma ani unampeleka unavyotaka hata akikataa unamcheka tu
Hahahhaaaaa😂😂😂😂Huwa wanasema hujafa hujaumbika. Wacheke tu mpaka siku ajali ifanye huo mdomo wa kuchekea ukose fizi ukiwa unacheka sauti iwe kama trekta lisilo na oil ndo utaelewa kuwa hawakujiumba.