Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Ni kichaa tu ama mjinga au mpumbavu ambaye atabishana na wewe. Magufuli was a real hero

Veti feki..??

Walitakiwa kunyongwa!

Na yeyote mwenye kutaka kuleta mabadiriko ya kweli kwenye hii nchi ya watetea ufisadi, ni lazima auvae umagufuli
Mkuu kama ni kunyongwa alitakiwa aanzwe yeye kwa kuwa PhD feki, halafu afuate mwanae Makonda! Hiyo ndio haki Mkuu!
 
Mada zahovyo tuijenge nchi sio kumlilialilia marehemu ...ashapumzika mumwache au mumfate
 
Amewanyoosha.

Mbona huzungumzii hao hao Watanzania walivyoongezewa kipato kutoka na Ajira,Kilimo,kukua biashara,kufutiwa Kodi sumbufu,kupunguziwa gharama za matibabu nk?

Kama maisha ni magumu umewahi sikia kitu gani kimedoda huko mtaani?

Ukiwa hopeless na stressful wewe usidhani ni wote

View: https://www.instagram.com/p/C1_VkVntwGH/?igsh=MWIxOTB3OXA1ZHlyYQ==

Kumbe wewe ni mjinga??

Kudoda ndio kitu gani?

Huoni kwamba unatumia nguvu nyingi sana kutetea hali inavyozidi kuwa mbaya,?

Ni uwongo kwamba nauli zimepaaa mara nne zaidi??

Ni uwongo kwamba cement na kila bidhaa zimeruka juu

Ni uwongo umeme kukatika nakukosa uhakika?

Ni uwongo sukari kuwa juu??

Ni uwongo kwamba hali ni mbaya mara nne zaidi??
 
Mkuu kama ni kunyongwa alitakiwa aanzwe yeye kwa kuwa PhD feki, halafu afuate mwanae Makonda! Hiyo ndio haki Mkuu!
Kwenye sakata la vyeti feko lilikukumba na wewe pia mkuu...?
 
Nostalgia euphoric
For glory historic
Is blurring the vision
For future missions with precision
Too many braincells wasted on the death of a Czar, Stalin
No question, that's why we can't get too far, kna'amean?
Petty comparisons between Pwagu and Pwaguzi
There's no choice, but we're still too choosy
Psycho sicko, we're in a pickle
That's why im fickle with my political nickel
The fixation with personalities, exposes our banality
A flock of unthinking sheep
Gives me the creeps
A block of Pavlovian knee jerk stimuli bleeps
Nor data, neither pro rata
Just pure energy of vacuum
Boom
Unstoppable like the expansion of the universe
Too much to rhyme in just one verse
Here comes the brand new flavor in your ear
Dark energy everywhere
Junk food, empty calories
Killing like Mickey and Mallory
No policy in Metropolis, hardly
Academia is dead since Kezilahabi
Smallminded posers, mentally dossers
Flossers, I'm allergic to this dish, not kosher.
 
Have you hacked the account of the owner of that name? What rubbish have you written now, better use Kiswahil

Hata hivyo, nikwambie hivi, hatuwi wajinga tunapoamua kutumia mifano ya wengine waliotanguli jinsi walifanya hata kama ni kwa uchache wa vifanywa ili tu, itufanye kuitafuta njia sahihi na kuelekea pa ubora

Twaweza kutofautiana muono, lakini ukweli ni kwamba, sote tunajaribu kutafuta unafuu wa mambo
 
Have you hacked the account of the owner of that name? What rubbish have you written now, better use Kiswahil

Hata hivyo, nikwambie hivi, hatuwi wajinga tunapoamua kutumia mifano ya wengine waliotanguli ili itufanye kuitafuta njia sahihi
The ignoble irony, the comic calumny, the balderdash buffoonery of your chastizing me for using English, is that you are also using English.

Kama unafikiri nakataa kutumia mifano ya wengine ili kuitafuta njia sahihi hujanielewa.

Na pengine huwezi kunielewa.
Kwa maana ya kwamba huna uwezo wa kunielewa.

I still read Gibbon.
 
Kumbe wewe ni mjinga??

Kudoda ndio kitu gani?

Huoni kwamba unatumia nguvu nyingi sana kutetea hali inavyozidi kuwa mbaya,?

Ni uwongo kwamba nauli zimepaaa mara nne zaidi??

Ni uwongo kwamba cement na kila bidhaa zimeruka juu

Ni uwongo umeme kukatika nakukosa uhakika?

Ni uwongo sukari kuwa juu??

Ni uwongo kwamba hali ni mbaya mara nne zaidi??
Natumai Nguvu nyingi zipi? Hali mbaya ipi inayozidi kuwa mbaya?

-Mikopo Bure Kwa wanafunzi Diploma Hadi University
-Elimu Bure Chechea Hadi Form six
-Hali ngumu ila Miji inazidi kupaa Kwa ujenzi
-Hali ngumu ila Ajira zinazidi Kumiminika kuanzia Serikalini Hadi sekta binafsi
-Hali ngumu ila.mapato ya serikali yanazisi.kupaa
-Hali ngumu ila mbolea zote zimekwisha kwenye maghala
-Hali ngumu ila Bar zinazidi kukaa
-Hali ngumu ila Kila siku Barabara zinajaaa magari binafsi Hadi ya biashara
-Hali ngumu ila Utitiri wa miradi Kila kukicha
-Hali ngumu ila uzalishaji wa mazao unazidi kupaa Hadi ziada ya kutosha
-Hali ngumu ila biashara zinazidi kufunguliwa
-Hali ngumu 😂😂😂😂😂😂😂

View: https://www.instagram.com/p/C1_ml36NFTy/?igsh=MWhuemJnazQ4N2p5dQ==

View: https://www.instagram.com/p/C1-QDAttFy3/?igsh=eHNmMHFubzRtNm9k
 
Watakuja kusema hoo kipindi kile kulikuwa hamna global inflation sijui vita ya Ukraine haikuwepo...cjui Mara huwezi jua saa Hivi Kuna matatizo gani na ni dunia nzima..Mara mfumo.. Mara watu...🤣🤣mi nishachoka jamani
 
The ignoble irony, the comic calumny, the balderdash buffoonery of your chastizing me for using English, is that you are also using English.

Kama unafikiri nakataa kutumia mifano ya wengine ili kuitafuta njia sahihi hujanielewa.

Na pengine huwezi kunielewa.
Kwa maana ya kwamba huna uwezo wa kunielewa.

I still read Gibbon.
Usitumie nguvu sana kujielezea jinsi ulivyo,

Unachochangia ndicho kinakuelezea usahihi wa ulivyo

Nihitimishe hivi, hii account siyo ya huyu ninayejadili naye

Huyu wa sasa ni mjinga!
 
Tupate viongozi 30 dizaini ya akina Magufuli na Kagame. Tuwape miaka 20 - 30 tu halafu waondoke. Afrika yote itavuvumka. Ndiyo kutakuwa na maumivu lakini pia hakuna maendeleo bila maumivu maana maendeleo hayaji kwa kurembuliana macho na kuchekeleana kwa sauti tamu huku mkifundishana jinsi ya kuangalia urefu wa kamba zenu ili msiingiliane katika ufakamiaji wa raslimali za taifa.

Hata wazungu wenyewe waliendelea wakati wa udikteta wa kifalme na kimalkia. Siamini kama wangeendelea kama wangekuwa na huu upuuzi wa eti demokrasia na kubembelezana.

Afrika inahitaji viongozi dizaini ya akina Magufuli na Kagame kwa sasa halafu kubembeleza kuje huko baada ya maendeleo kuwa yameshapatikana...kama wazungu walivyofanya!

Demokrasia hii isiyo na faida ni mtego tu kwa nchi za Kiafrika! 🚮🚮🚮
Umeandika takataka,Uliwahi kuona au kusikia wapi Kagame Kwa mfano anagombana na wafanyabiashara? Kagame ni muumini biashara na ujamaa mbuzi wa Mwendazake.

Hivi huyo Kagame wenu amefanya kipi Cha maana wakati Nchi yake Iko kwenye kundi la Nchi maskini?

Hivi nyie walalamishi wa Bongo mnaweza ishi Rwanda nyie au mnaropka tuu? Unajua kwamba Rwanda ni Moja ya Nchi Zenye mfumuko mkubwa wa bei na maisha ghali? Huwa mnaropoka tuu Kwa kusimuliana ujinga Vijiweni.

Kama maendeleo ni Kujenga reli huko Ethiopia watu si wangekuwa matajiri Sasa? Mbona wanakimbia Nchi Yao na reli zipo?

Mwisho Maendeleo yanaletwa na Kiongozi anaejua watu wake wanakwama wapi na wengi wanafanya nini ndio anaweka Rasilimali huko.Mfano mzuri ni Samia anavyopambana kuwasaidia lundo la maskini walioko kwenye Kilimo waondokane na shida zao.

Mabwawa 100 ya Umwagiliaji yanajengwa Nchi nzima pamoja na scheme,Samia ndio anafanya mambo ya msingi wengine walikuwa wapumbavu wasiojua nini wanafanya.

View: https://www.instagram.com/p/C1_wRl7tBm7/?igsh=MWpyZXdvb3cyZ2Y1ZQ==

Sio huyo Magufuli unaemtaja wewe aliyenunua ndege 13 Kwa Trilioni 3,katikati ya maskini mil.40.Hizo ni akili au matope?
 
Anapozungumza maendelea ni maumivu, hajawaondoa wafanya biashara kanjanja, nao wataumia tu

Uwe mwelewa basi we kiazi!
 
Usitumie nguvu sana kujielezea jinsi ulivyo,

Unachochangia ndicho kinakuelezea usahihi wa ulivyo

Nihitimishe hivi, hii account siyo ya huyu ninayejadili naye

Huyu wa sasa ni mjinga!

Wewe ndiye unatumia nguvu kulazimisha mimi si Kiranga kweli.

Account imekuwa hacked. WTF?

Unalazimisha. Unanifanyia censorship nipost unavyotaka wewe.

Sijawahi kuogopa kupost ninavyotaka kwa kuogopa kuitwa mjinga.

Ni bora nionekane mjinga nibaki na uhuru wa kupost ninachotaka kuliko kuonekana mjanja huku nikiogopa ku post ninachotaka.

Fanya hivi, nipeleke kwenye ignore list kabisa ili usione ujinga wangu tena.

Itatusaidia wote wawili na JF nzima tusione majibizano yasiyo na tija.
 
Nimefundishwa kuishi na wajinga kwa sababu nao ni moja ya jamii iliyopo!

Nikuignore kwa lipi?

Labda wewe ambaye kwa leo umeishiwa hoja, fanya inavyojua
 
Nimefundishwa kuishi na wajinga kwa sababu nao ni moja ya jamii iliyopo!

Nikuignore kwa lipi?

Labda wewe ambaye kwa leo umeishiwa hoja, fanya inavyojua
Basi kwa kuwa unalazimisha majibizano nami, na mimi sitaki majibizano nawe, kwa sababu hayana tija, naona unaniletea shombo la kunuka tu, nakupeleka ignore list.

You have lost the privilege to engage me directly.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
 
Anapozungumza maendelea ni maumivu, hajawaondoa wafanya biashara kanjanja, nao wataumia tu

Uwe mwelewa basi we kiazi!
Maendeleo yapi ya kuondoa wafanyabiashara kanjanja? Hao kanjanja ndio kina nani?

Haya mlipowaondoa kipi mlipata mbona mlikuwa mnapora watu pesa?

Samia ana akili kuliko takata za wapumbavu zile za wapiga Makelele ya kisengerema.

Kwa taarifa Yako Kuna industrial parks 6 kama hizi zinaendelea na ujenzi Nchi nzima.Tanzania ya viwanda Kwa real terms sio porojo

View: https://www.instagram.com/p/C1_wCnBI5gQ/?igsh=MW11bTB2YzJkMDUz
 
Ya kijinga Kwa mujibu wa mpumbavu.

Umewahi sikia biashara zinadoda awamu ya 6 au Bar zimekosa Wateja Kwa sababu maisha ni magumu kama mnavyosema?
Siwaogopi wajinga, ila hii ndio hufanya kuona kuwa, sote tu binadamu, ila mitazamo ni tofati

Wajinga kama wewe, ni fursa sana kwa maccm
Endeleeni kuhangaika na marehemu ndiyo mnachoweza zaidi but mjue kunandugu wanaumizwa na upuuzi huu
Mkuu, umeishia kujenga hoja kwa namna hii?? Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom