‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

na hao wa hivi nashia kuwaona kwenye movie za nigeria[emoji4] [emoji4]
 
.hahaha pole sana mkuu mimi nayajua haya mambo aisee ndomana nasema huwa yanawacost bila wao kujua
 
Hahahaha huo ni useng* asee, maana mimi mwanamke akinambia yeye Bikra lazma nimle kama nidhamuahidi nitamuoa sasa anakuwa na wasiwasi gani akikataa ina maana haniamini na namuacha hapohapo






Sitaki ujinga mm
mie akikataa huwa namwacha siwezi kuowa mwanamke kwa sababu ya bikra alafu isipokuwepo wengi ni matapeli aiseee watu walishachovya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…