byongo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 827
- 1,945
Wapo wadada wasomi,wanajiheshimu na kujitunza...Sema tu wanaume hamtulizi mabichwa yenu mnapotafuta wenza.kama kweli bikra sina shida ila kuja kuamini hii ni yenyewe na hii ni feki aisee kwa hawa wamjini mungu anisamehe bora mtafute gumegume lilowashinda mitume nije niowe sio kwa kutiana magonjwa ya moyo kama hayo
Eti upate gume gume lililowashinda mitume[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bikra original zipo tena za wadada wasomi.