Naomba ifahamike wazi linapokuja swala la kufanya Sex mwanamke anaweza kuvumilia kutofanya Sex kwa muda mrefu ,tofauti na mwanaume ,
Nimekutana na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wakilalamika kuwekewa masharti haya Magumu na watoto wa kike la kutokufanya Mapenzi mpaka ndoa.
Kidini na kimaadili ni jambo jema na liko Sahihi kabisa.
Shida inapokuja kwa Dunia ya sasa tuliokuwa nayo imekuwa ni shida na ni gumu jambo hili kutekelezeka ,na limejikuta likiwaacha wadada wengi wakilia na kusaga meno kwa sababu mbali mbali,
Wapo ambao wengi husingizia wao ni bikra na hawatofanya mpaka waolewe.
Yupo dada mmoja alijinasibu kuwa yeye ni bikra na hatoe penzi mpaka aolewe ,jamaa alijikusuru na kubebea mzigo akidhani bint anayemuowa ni bikra matokeo yake alikuta tofauti na jamaa alishindwa kuvumilia na kumwacha mwanamke ,Nilipokuwa nimekaa na yule bint na kumuuliza kwanini aliamuwa kumwongopewa mshkaji kwamba ni bikra na hampi mpaka amuowe ,jibu aliniambia amechoja kuchezea alifanya hivyo ili aolewe ,swali nililomuuliza haya umeolewa na je umedumu katika ndoa?
Ukweli usio pingika hakuna mwanaume anaweza kuvumilia hili jambo na kama wapo ni wachache na wengi wanaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia ,Na kama basi ataweza kustahamili mpaka ndoa basi kaaeni fika mkijua kuna sehemu anapunguza ugwadu ,
Binaadamu yeyote anayekula akashiba na hasa vyakula hivi vyetu vya kisasa ,lazima matamanio yaje ,Tuache kuigiza tuje kwenye uhalisia kama umempenda mtu basi mpe haki yake laasivyo jiandae yafuatayo;
1: kusalitiwa ,
2:Au kuachwa kwenye mataa
Chaguo ni lako......
Nyoka mbabu, haujaingia "in deep" katika utafiti wako kwa kina juu ya muktadha halisi wa jambo hili.
Nikuulize labda. Hivi hilo uliloongelea wewe suala la bikira, ni kweli lina umuhimu na ni kivutio kwa wanaume walio wengi, yaani waoapo wakute mwanamke ni bikira?
Ndonikasema wewe jambo hili haujalifanyia utafiti wa kutosha.
Nijuavyo mimi, sababu ama manufaa ya kuzuia wachumba wasikaribiane kabla ya ndoa, zipo lakini si kwa kulinda bikira ya mwanamke.
Sababu ya kwanza ni kwamba mwanamme akinyimwa kukaribiana na mchumbaake kwa masharti hadi amuoe, humfanya awe serious na jambo hilo na ni kipimo tosha cha kuelewa kama kweli anampenda mchumbawake ama ni blahblah.
Atajinyima hata kula ili apate mali ya kukamilishia lengo lake.
Sababu ya pili ni ya kibinadamu, kwamba unapotaka kuhodhi kitu chenye thamani, halafu ikatokea ukalegezewa masharti ya kukipata, mfano unaelezwa kuwa, anza tu kukitumia, utalipa polepole. Je utaweka kipaumbele katika juhudi za kuhangaikia umiliki wake tena?
Tatu ni suala zima la 6x6. Hili lina mambo mengi tena kwa upana sana, ambayo sitayaelezea hapa.
Suala la bikira halina maana yoyote.
Tena nikwambie, wanaume wengi wanapoanzana hupenda kukuta wenza wao ni "wakufunzi" wazuri badala ya kukuta ni "wanafunzi" mbumbumbu wanaohitaji chekechea kabla ya kuanza la kwanza.