Naomba ifahamike wazi linapokuja swala la kufanya Sex mwanamke anaweza kuvumilia kutofanya Sex kwa muda mrefu ,tofauti na mwanaume ,
Nimekutana na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wakilalamika kuwekewa masharti haya Magumu na watoto wa kike la kutokufanya Mapenzi mpaka ndoa.
Kidini na kimaadili ni jambo jema na liko Sahihi kabisa.
Shida inapokuja kwa Dunia ya sasa tuliokuwa nayo imekuwa ni shida na ni gumu jambo hili kutekelezeka ,na limejikuta likiwaacha wadada wengi wakilia na kusaga meno kwa sababu mbali mbali,
Wapo ambao wengi husingizia wao ni bikra na hawatofanya mpaka waolewe.
Yupo dada mmoja alijinasibu kuwa yeye ni bikra na hatoe penzi mpaka aolewe ,jamaa alijikusuru na kubebea mzigo akidhani bint anayemuowa ni bikra matokeo yake alikuta tofauti na jamaa alishindwa kuvumilia na kumwacha mwanamke ,Nilipokuwa nimekaa na yule bint na kumuuliza kwanini aliamuwa kumwongopewa mshkaji kwamba ni bikra na hampi mpaka amuowe ,jibu aliniambia amechoja kuchezea alifanya hivyo ili aolewe ,swali nililomuuliza haya umeolewa na je umedumu katika ndoa?
Ukweli usio pingika hakuna mwanaume anaweza kuvumilia hili jambo na kama wapo ni wachache na wengi wanaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia ,Na kama basi ataweza kustahamili mpaka ndoa basi kaaeni fika mkijua kuna sehemu anapunguza ugwadu ,
Binaadamu yeyote anayekula akashiba na hasa vyakula hivi vyetu vya kisasa ,lazima matamanio yaje ,Tuache kuigiza tuje kwenye uhalisia kama umempenda mtu basi mpe haki yake laasivyo jiandae yafuatayo;
1: kusalitiwa ,
2:Au kuachwa kwenye mataa
Chaguo ni lako......