‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

Yesu mwenyewe tunamngoja mpaka Leo sembuse hawa viumbe tena kwa uongo wa bikira. Hawa watu ni sawa na supu unaambiwa haijatiwa maji kumbe muuzaji ashatia maji Mara tatu. Ukisubiri inakula kwako lazima ionjweee
hahaha ni kweli kabisa
 
we nyoka mzee wacha masikhara..hivi ukisubiria kisha ukapata mwanamke wako ana mtarooooo utakuwaje?
 
Natamani nijitolee mfano Mimi binafsiiii...
Ila nsije ambiwa niende kwa shigongo..

Ila mada imenikamata penyewe..too bad siwezi sema my opinion.
 
Kiukweli wanaume tunaweza kuvumilia hata wanawake pia swala la msingi unachoniaminisha ni kweli. Huwezi kuniambia wewe bikira kumbe unamlolongo wa mabwana sasa umeona hakuna faida uliyopata ndo unajifanya bikra shabashiiiii hakuna binadamu anayependwa kudanganywa
Uongo umechukua nafasi kubwa katika maisha na mapenzi YETU
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu.!
Kuna kademu nilitakaga kukaoa mwaka juzi ikawa kila akija kunitembelea gheto anagoma kutoa "ufa" kisingizio bado bikra nikasema poa nikaanza kugharimia mwisho wa siku nikaanza maandalizi ya kutuma wazee mwao lakini nikamwonya kwamba iwapo tukimaliza harusi nikikuta sio bikra ntaumia sana na hata kumwacha maana sipendi mke mwongo ni bora kuwa nkweli mapema ili hata kama ametumika nimwoe huku nikijua.
Siku mbili kabla ya wazee kwenda kwao alikuja gheto na kuniambia wazazi wake wameshajiandaa kupokea wageni ila kuna kitu kinamnyima raha kabisa.!
Kumuuliza ni kitu gani akasema eti nimsamehe kwa kunidanganya kuwa ni bikra ukweli ni kwamba aliwahi kufanya mara moja.!
Nilifikiria kipindi chote nahudumia hajawahi kunipa hata "tako moja"
kwa kisingizio cha bikra.!
Siku hiyo ilibidi anipe japo kwa shingo upande "nilimkanyaga" kiroho mbaya ila nilichokikuta..[emoji86]
Lile sio shimo yaani nilihisi naelea sigusi hata ukuta.!
Nikahamia kwenye ule mtandao wa watu wa Dar "Halichachi"
Huko nako nikakuta walishatumia sana mpaka nikahisi nimeingiza kwenye kikombe.!
Sikumbuki kilichoendelea ila nasikia siku hizi kaolewa na askari polisi mmoja hivi.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hawa viumbe si wakuwahamini atakidogo
 
Mtasema sio kweli nmetunga story...!
Ngoja nisomege na mawazo ya wengine!
Any way,
Pole kwa lolote baya lililokutokea
IMG_20170520_211903.jpg
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu.!
Kuna kademu nilitakaga kukaoa mwaka juzi ikawa kila akija kunitembelea gheto anagoma kutoa "ufa" kisingizio bado bikra nikasema poa nikaanza kugharimia mwisho wa siku nikaanza maandalizi ya kutuma wazee mwao lakini nikamwonya kwamba iwapo tukimaliza harusi nikikuta sio bikra ntaumia sana na hata kumwacha maana sipendi mke mwongo ni bora kuwa nkweli mapema ili hata kama ametumika nimwoe huku nikijua.
Siku mbili kabla ya wazee kwenda kwao alikuja gheto na kuniambia wazazi wake wameshajiandaa kupokea wageni ila kuna kitu kinamnyima raha kabisa.!
Kumuuliza ni kitu gani akasema eti nimsamehe kwa kunidanganya kuwa ni bikra ukweli ni kwamba aliwahi kufanya mara moja.!
Nilifikiria kipindi chote nahudumia hajawahi kunipa hata "tako moja"
kwa kisingizio cha bikra.!
Siku hiyo ilibidi anipe japo kwa shingo upande "nilimkanyaga" kiroho mbaya ila nilichokikuta..[emoji86]
Lile sio shimo yaani nilihisi naelea sigusi hata ukuta.!
Nikahamia kwenye ule mtandao wa watu wa Dar "Halichachi"
Huko nako nikakuta walishatumia sana mpaka nikahisi nimeingiza kwenye kikombe.!
Sikumbuki kilichoendelea ila nasikia siku hizi kaolewa na askari polisi mmoja hivi.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] haichekeshi mkuu ila imenibid tu jmn kuna wtu MNA vituko htr!!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Unang'ang'ania hadi ndoa unakuta jamaa hapandi mtungi, kuonjana ndo habari ya mjini kila mtu arizike na mzigo.
Hapo mkuu mbona unaniacha yaani ME anajua dhahiri hapandi mtungi alafu anaoa ili iweje?. Au sijakuelewa

Anyway mleta mada amesema ukweli hapo wengi hupenda kutumia migongo ya dini kuficha hayo ni ngumu kwa sasa kuoa KE bila kusex nao before ndoa.

Kuna vya muhimu kugundua ujue mtaendana au hafai ujikatae mapema
 
Back
Top Bottom