Hakuna kundi la waajiriwa wa serikali linalonyanyaswa na kuonewa kama walimu. Siku wakisanuka, CCM bye bye

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Waalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.

Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa kuonewa na kunyanyaswa na kutumika kisiasa pamoja na hayo linafanyiwa kila aina ya vitimbi

Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na CWT serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.
Niwaombe waalimu tuache kutumika kisiasa ili tusiue taaluma na elimu ya watoto wetu
 
Waalimu wana malalamiko mengi sana. Ccm imeiteka cwt ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.

Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na cwt serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.

Ualimu ni wito
 
IMG-20260522-WA0054.jpg
 
acha upotoshaji, uzushi na uchochezi useless namna hiyo gentleman.

utumishi wa umma ni uzalendo na ualimu ni wito. Masuala ya walimu hupangwa na chama chao huru, na yapo kwa mujibu wa sheria, lakini pia na changamoto zao nyingi hutatuliwa humo kadiri ya muongozo wao.

hakuna mtumishi wa umma anae onewa nchi hii, na watumishi wote wa umma Tanzania ni wachapakazi hodari ambao wamejitolea kwa moyo wote kuutumikia umma wa waTanzania wote bila ubaguzi wala upendeleo.

Ni muhimu sana,
Kuwaheshimu watumishi wote wa umma Tanzania 🐒
 
Waalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.

Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa kuonewa na kunyanyaswa na kutumika kisiasa pamoja na hayo linafanyiwa kila aina ya vitimbi

Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na CWT serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.
Niwaombe waalimu tuache kutumika kisiasa ili tusiue taaluma na elimu ya watoto wetu
Walimu wote ni matutusa. Yako kama magunia ya viazi, unaweza kuyaviringisha unavyotaka
 
Walimu hawana akili hizo za kujielewa , ni waoga hamna mfano
 
We jamaa liongo sana wewe ungekuwa hata mwalimu wa kusingiziwa ungeelewa ninachoseama waalimu wanaonewa wanapuuzwa walianzisha chama kinaitwa chakamwata kikakomba waalimu karibia wote ikabidi wakidhibiti na kukipgiga zengwe la kibabe
 
iko hivi nikweli sana hebu fikiria hadi leo kuna waalimu kwenye mfumo wa ess score zao hazipandi hadi wameamua kwenda kwa IT wa wilaya ,fikiria hyu mtu ajapandishwa daraja lake hadi sasa ,score za mwaka huu ameplani lakini mfumo kwake umeshindikama kuzipandisha huyu mtu unatengemea mwakani tena umnyime daraja haki naawaambia msiwaonee hawa watumishi majuto ni mjukuu
 
ukiacha TLS, hivyo vyama vilivyobaki ni takataka.
Wanasheria wapo vizuri kwenye masuala yao, almost duniani kote vyama vya mawakili ni vibrant.
 
Waalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.

Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa kuonewa na kunyanyaswa na kutumika kisiasa pamoja na hayo linafanyiwa kila aina ya vitimbi

Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na CWT serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.
Niwaombe waalimu tuache kutumika kisiasa ili tusiue taaluma na elimu ya watoto wetu
Hao huwa wanapenda kuonewa , na vituko vyote but wanarudi pale pale kuwa machawa
 
acha upotoshaji, uzushi na uchochezi useless namna hiyo gentleman.

utumishi wa umma ni uzalendo na ualimu ni wito. Masuala ya walimu hupangwa na chama chao huru, na yapo kwa mujibu wa sheria, lakini pia na changamoto zao nyingi hutatuliwa humo kadiri ya muongozo wao.

hakuna mtumishi wa umma anae onewa nchi hii, na watumishi wote wa umma Tanzania ni wachapakazi hodari ambao wamejitolea kwa moyo wote kuutumikia umma wa waTanzania wote bila ubaguzi wala upendeleo.

Ni muhimu sana,
Kuwaheshimu watumishi wote wa umma Tanzania 🐒
Acha upotoshaji, hilo la uchapakazi umelitoa wapi? https://www.utumishi.go.tz/news/rip...40-ya-watumishi-wa-umma-nchini-hawafanyi-kazi
 
Walimu wote ni matutusa. Yako kama magunia ya viazi, unaweza kuyaviringisha unavyotaka
Waalimu Ni Sifuri Zero.
"Ualimu ni last Option kimbilio la waliofeli".
Walimu hawana akili hizo za kujielewa , ni waoga hamna mfano
Acheni utoto. Pamoja na mapungufu yao, bado mnatakiwa kuwaheshimu watu waliowafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu.

Halafu wengine hapa msikute ni majobless tu, lakini wakati huo huo mnapata ujasiri wa kuwadharau watu wanaojiendeshea maisha yao kwa kutegemea kipato chao wanachokipata kila mwezi! Hakika huu ni ujinga wa kiwango cha juu sana.
 
Sio walimu pekee!!

Tatizo kuu lilianzia hapa

"kama taifa tuliifanya siasa kuwa KAZI ya malipo makubwa kuliko professionalism"

Siasa inalindwa kuliko vyote hapa nchini na inadumaza maendeleo coz kila kitu ni lazima kipate uhalali wa kisiasa ndio kifanyike na mtumishi anakua mtumwa wa wanasiasa na propaganda zao!!

Mtumishi hawezi kukwepa

Kitengo cha usalama hasa watunga sera za kesho ya taifa hili ndio wanapaswa kututoa huku!!!

Kuwachonganisha watumishi na serikali ili waingie mzigoni kudai haki ni kiwafanya kafara la damu la kisimika tambiko la kimi zimu la chama tawala!!

Play safe!!
 
Acheni utoto. Pamoja na mapungufu yao, bado mnatakiwa kuwaheshimu watu waliowafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu.

Halafu wengine hapa msikute ni majobless tu, lakini wakati huo huo mnapata ujasiri wa kuwadharau watu wanaojiendeshea maisha yao kwa kutegemea kipato chao wanachokipata kila mwezi! Hakika huu ni ujinga wa kiwango cha juu sana.
Mh! Issue siyo kuwa joblessness, eti walitufundisha kuandika and the like, issue ni kuwa wanakosa coherence! Wanakosa self awareness! That is the point of contention!
 
Kuna wafanyakaz wa serikal au niseme watumishi wa umma wanaojielewa Tanzania hii?

Au kujielewa ni kuiba hela za wananchi?

Au kujielewa ni kufanya kaz chini ya kiwango?

Humu si kutwa nzima mnalalamika kuhusu huduma mbaya za serikali katika kila huduma wanayotoa?

Au uko napo wafanyakaz ni walimu?

Kuhusu swala la kujitambua Tanzania hii, ni asilimia 0.23 ya raia wote 60m+ ya watanzania ndo wanajitambua

Wengine wote walewale pipa na mfuniko.

Kumilik pesa za wizi sio kujitambua

Kupokea mshahara mkubwa ambao haufanyii na ustahili kulipwa kulinga na kaz unayoifanya kwa mwez sio kujitambua ni utapel uliohalalishwa katika kikundi Cha wapumbavu

Private sekta kidogo kuna watu wanaokula kwa jasho japo nao wengi kama wangekua wanalipa kodi kama ipasavyo kampuni zao zingekufa miez mitatu mbele baada ya kufunguliwa

Hii ni genge la wezi na matapel hakuna anaejitambua anaefanya kaz serikali au mwanasiasa wote wezi

Katika watanzania 60m+ asilimia 99.87 ni wez wakutupwa
 
Kama mpaka sasa hawajasanuka, unategemea watakuja kusanuka mwaka gani?
 
Back
Top Bottom