Hakuna kundi la waajiriwa wa serikali linalonyanyaswa na kuonewa kama walimu. Siku wakisanuka, CCM bye bye

Hakuna kundi la waajiriwa wa serikali linalonyanyaswa na kuonewa kama walimu. Siku wakisanuka, CCM bye bye

Waalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.

Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa kuonewa na kunyanyaswa na kutumika kisiasa pamoja na hayo linafanyiwa kila aina ya vitimbi

Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na CWT serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.
Niwaombe waalimu tuache kutumika kisiasa ili tusiue taaluma na elimu ya watoto wetu
Unategemea mwalimu anaye HONGWA kishkwambi asanuke kweli?
Utasubiri sana
 
Back
Top Bottom