The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Ualimu ni witoWaalimu wana malalamiko mengi sana. Ccm imeiteka cwt ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.
Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa kuonewa na kunyanyaswa na kutumika kisiasa pamoja na hayo linafanyiwa kila aina ya vitimbi
Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na cwt serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.
Niwaombe waalimu tuache kutumika kisiasa ili tusiue taaluma na elimu ya watoto wetu
acha upotoshaji, uzushi na uchochezi useless namna hiyo gentleman.Waalimu wana malalamiko mengi sana. Ccm imeiteka cwt ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.
Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa kuonewa na kunyanyaswa na kutumika kisiasa pamoja na hayo linafanyiwa kila aina ya vitimbi
Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na cwt serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.
Niwaombe waalimu tuache kutumika kisiasa ili tusiue taaluma na elimu ya watoto wetu
Walimu wote ni matutusa. Yako kama magunia ya viazi, unaweza kuyaviringisha unavyotakaWaalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.
Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa kuonewa na kunyanyaswa na kutumika kisiasa pamoja na hayo linafanyiwa kila aina ya vitimbi
Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na CWT serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.
Niwaombe waalimu tuache kutumika kisiasa ili tusiue taaluma na elimu ya watoto wetu
We jamaa liongo sana wewe ungekuwa hata mwalimu wa kusingiziwa ungeelewa ninachoseama waalimu wanaonewa wanapuuzwa walianzisha chama kinaitwa chakamwata kikakomba waalimu karibia wote ikabidi wakidhibiti na kukipgiga zengwe la kibabeacha upotoshaji, uzushi na uchochezi useless namna hiyo gentleman.
utumishi wa umma ni uzalendo na ualimu ni wito. Masuala ya walimu hupangwa na chama chao huru, na yapo kwa mujibu wa sheria, lakini pia na changamoto zao nyingi hutatuliwa humo kadiri ya muongozo wao.
hakuna mtumishi wa umma anae onewa nchi hii, na watumishi wote wa umma Tanzania ni wachapakazi hodari ambao wamejitolea kwa moyo wote kuutumikia umma wa waTanzania wote bila ubaguzi wala upendeleo.
Ni muhimu sana,
Kuwaheshimu watumishi wote wa umma Tanzania 🐒
Kwani wito mana yake nini unamaanisha sio taaluma?Ualimu ni wito
Hao huwa wanapenda kuonewa , na vituko vyote but wanarudi pale pale kuwa machawaWaalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.
Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa kuonewa na kunyanyaswa na kutumika kisiasa pamoja na hayo linafanyiwa kila aina ya vitimbi
Walipojioganize na kuanzisha chama tofauti na CWT serikali imepiga zengwe haitaki hata kusikia.
Niwaombe waalimu tuache kutumika kisiasa ili tusiue taaluma na elimu ya watoto wetu
Acha upotoshaji, hilo la uchapakazi umelitoa wapi? https://www.utumishi.go.tz/news/rip...40-ya-watumishi-wa-umma-nchini-hawafanyi-kaziacha upotoshaji, uzushi na uchochezi useless namna hiyo gentleman.
utumishi wa umma ni uzalendo na ualimu ni wito. Masuala ya walimu hupangwa na chama chao huru, na yapo kwa mujibu wa sheria, lakini pia na changamoto zao nyingi hutatuliwa humo kadiri ya muongozo wao.
hakuna mtumishi wa umma anae onewa nchi hii, na watumishi wote wa umma Tanzania ni wachapakazi hodari ambao wamejitolea kwa moyo wote kuutumikia umma wa waTanzania wote bila ubaguzi wala upendeleo.
Ni muhimu sana,
Kuwaheshimu watumishi wote wa umma Tanzania 🐒
Walimu wote ni matutusa. Yako kama magunia ya viazi, unaweza kuyaviringisha unavyotaka
Waalimu Ni Sifuri Zero.
"Ualimu ni last Option kimbilio la waliofeli".
Acheni utoto. Pamoja na mapungufu yao, bado mnatakiwa kuwaheshimu watu waliowafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu.Walimu hawana akili hizo za kujielewa , ni waoga hamna mfano
Wanajiona kama best looser kwenye systemWalimu hawana akili hizo za kujielewa , ni waoga hamna mfano
Mh! Issue siyo kuwa joblessness, eti walitufundisha kuandika and the like, issue ni kuwa wanakosa coherence! Wanakosa self awareness! That is the point of contention!Acheni utoto. Pamoja na mapungufu yao, bado mnatakiwa kuwaheshimu watu waliowafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu.
Halafu wengine hapa msikute ni majobless tu, lakini wakati huo huo mnapata ujasiri wa kuwadharau watu wanaojiendeshea maisha yao kwa kutegemea kipato chao wanachokipata kila mwezi! Hakika huu ni ujinga wa kiwango cha juu sana.