Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Bila kuchoka.Imeisha hiyo mkuu.
Operation kataa machawa phase 2 inaendelea 🔥
Watanyooka tu.Mwaka wa kuvuna walicho panda December yao ya kupiga show ngoma ngumu
Uzuri mie wasanii wabongo sinaga shobo nao unaweza kufika mwaka wa 15 huu.
Kabisa ,tuendelee kuPUSH maana hawa WASANII ndiyo wanaotuangusha ,wasanii wakiungana kupinga UHUNI wa Serikali basi nchi inakombolewa mapema.Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe.
Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote zinazotangazwa na msanii hununui, mauzo yakiporomoka ubalozi atavuliwa.
Waludi bushi wakalime mbogamboga za baba yao ccm.Mtawaua kwa njaa
Wivu, njaa, chuki, roho mbaya, umaskini haviwezi kujenga taifa imara. Jf tunaishusha hadhi kwa thread za kitoto hebu turudi kwenye ajenda muhimu
Wale ambao hawakuinvest kazi wanayoMwaka wa kuvuna walicho panda December yao ya kupiga show ngoma ngumu