Hakuna kununua chochote kwenye biashara ya msanii, iwe ni nguo, vipodozi, msiishie tu kuwa unfollow

Hakuna kununua chochote kwenye biashara ya msanii, iwe ni nguo, vipodozi, msiishie tu kuwa unfollow

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe.

Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote zinazotangazwa na msanii hununui, mauzo yakiporomoka ubalozi atavuliwa.
 
Kabisa ,tuendelee kuPUSH maana hawa WASANII ndiyo wanaotuangusha ,wasanii wakiungana kupinga UHUNI wa Serikali basi nchi inakombolewa mapema.
 
Na sio wasanii tu kama leo maandamano yasipofanikiwa January hakuna kupeleka watoto shule mpaka serikali ije ......(Hayo ni mawazo yangu tu ruhusa kukosolewa)
 
Wivu, njaa, chuki, roho mbaya, umaskini haviwezi kujenga taifa imara. Jf tunaishusha hadhi kwa thread za kitoto hebu turudi kwenye ajenda muhimu

Sina wivu wala chuki nao na sina njaa, lakini sifurahishwi na mwenendo wa kisiasa na kiuchumi wa serikali ya Tanzania. Nawakataa sababu wao ndio cheerleaders wa CCM
 
Usile na chapati wala kuangalia AzAM kwakuwa mmiliki wake ni sisiemu
 
Back
Top Bottom