Hakuna Legacy yoyote utakayoacha ambayo itafika mwaka 3000 labda kidogo kwa bahati Legacy ya kizazi chako


Anhaa!
Unàtaka úwe kama Wayahudi?
 
Kwahiyo unatoa ushauri gani mkuu ?

Kila generation ijipambanie ?
hamna, tubadilishe mtazamo tu

kutoa huduma kwa watu(service to others) kwa namna yeyote ile ndo jambo litakalokupa furaha ukiwa hai
labda ni kupitia ajira, biashara, kujitolea, kulea familia ama nini....

ukiwa na mtazamo wa kujenga legacy naona kama unajibana sana, wewe kama ulisimamia nafasi yako ya kutoa huduma inatosha
 
Kama legacy unayoacha haijagusa nafsi za watu utasahaulika tu ndani ya miaka michache. Ila kama uligusa kabisa roho za watu hata miaka 10000 ijayo utakumbukwa kwa uliyofanya. Yesu, Mohamed, Nyerere, Abraham Lincoln, Mama Theresa, Mandela.. watakumbukwa daima. Hii legacy ya kujenga Airport kijijini kwenu na stendi ya mabasi isiyotumika haisaidii.
 

Sasa swali linakuja wajenga Legacy hao uliowataja nj wachache Sana ukilinganisha na idadi ya Watu kipindi waô wakiwa hai.
 
We unasema miaka 3k ijayo wakati wenzako wanakufa na kusahulika siku hiyo hiyo.

So ili uwe immortal creature lazima uache legacy kama BUDDHA , Jesus Mtume Muhammad

Mandela
Nyerere
Hitler

Miaka 200 ijayo huyo Mandela na Nyerere hatakuwepo
 
Ni kweli kabsa ila umesahau mzanzibari kuingia makubaliano kwa niaba ya watanganyika ni legacy pia.
 
Kwa maisha tunaishi wabongo Mgeni akija kukutembea akakuta maji ya ugali unayabadilisha yanakuwa ya kuoga then ukifa unataka ukumbukwe hiyo haiwezekani.

Life is donation and not duration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…