Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Legacy pekee ambayo ninaweza kuiacha ni kutengeneza ancestry background! Nimeanza na Mtoto wangu, anafahamu Baba wa Babu yake ni nani, na Mama wa Bibi yake ni nani? Nimetengeneza mchoro kabsa hata siku nikikata moto basi dogo ajue kabsa hiyo kitu itaendelea mbele kwa wajuku zake.
Anhaa!
Unàtaka úwe kama Wayahudi?