Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya

Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia nzima ilikua ni miaka 30 - 35, ila sasa wastani ni miaka 75

Vifo vya utotoni vimepungua maradufu na magonjwa ambayo yalikua kama hukumu ya kifo miaka ya huko nyuma sasa tunayamudu

Tunasahau Watu walikua wanakufa kwa vidonda na kipindupindu kwasababu walikuwa hawajui hata umuhimu wa kunawa mikono
 
Back
Top Bottom