Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Mtanisamehe sana wale wenzetu mlio katika mfungo mtakatifu. Muda huu ndo napata kugundua kuwa hakuna maisha pasi na mwanamke. Nimekaza sana ndugu zanguni, huu ni mwezi wa sita sijaiona mbususu tofauti na kwenye simu tu.
Hii ilikuwa ni baada ya kugundua kuwa hawa viumbe wanamaliza sana mifuko yetu, almanusra nife bila kibanda. Kwa kuwa tayari nishamfukuzaga mama Yeyoo kwa kosa la kuninyima uchi, hivyo nikaamua kuishi maisha ya kitawa. Nimechoka sasa. Nimechoka, nimechoka sana. Ifike mahali tuwaheshimu, kisha tuwape maua yo watoto wa kike
Yaani hapa kumkichwa kumevurugika sana, mpaka ndugu, jamaa na marafiki wananisuta kwa kuwa nimekuwa mraibu, wananishauri ingelipendeza nikawa mraibu wa pombe kuliko mraibu wa wazungu. Kiufupi tu, ngozi imekauka, macho yametumbukia ndani, sura imeota makunyanzi, miguu imeanza tabia za Mayele
Nasemaje, imetosha.