Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
-
- #21
Kumbe jana ilikuwa Valentine[emoji23][emoji23] Ndo maana watu walikuwa wananipita nikiwa nimechili nje ya geti, wakawa full vichekoKwa hyo mkuu Jana ulinyoa lkn hukupata? Endelea kujikuna mwamba
Ni kujiendekeza tu, hawa viumbe hawana baya kama ukiwabembeleza. Tatizo langu sikupenda mambo mengi. Lakini kwa hali ilikofikia, wacha ninyenyekee tuUpwiru ni janga la kitaifa.
Sikiliza mdogo wangu, nenda club tafuta Malaya wale wenye mizigo unamnunulia bia anakukatia mauno mpaka unapiga Bao, hakikisha huondoki nao wewe maliza Tu upwiru wako ujikataeDuh, hali ni mbaya sana. Nimetamani kumuita Aisha Vibomu ila nimehofia taarifa kiwafikia wakwe. Wacha nijitose viwanja
Bembeleza ujifaidie vinonoNi kujiendekeza tu, hawa viumbe hawana baya kama ukiwabembeleza. Tatizo langu sikupenda mambo mengi. Lakini kwa hali ilikofikia, wacha ninyenyekee tu
Na nitasema,Bado hujasema
Shukhrani mkuu, napata kuamini ule msemo wa wanaume tumeumbiwa mateso. Kumbe ndo maana Sir God alimuumbia Adam mwanamke, coz alijua hatotoboa kupitia CHAPUTAPole sana kwa mahangaiko hayo.
Weeee kuwekana muhimu lo
Tafuta mbususu piga. Ukishamwaga kimoja anza kutafakri upyaMtanisamehe sana wale wenzetu mlio katika mfungo mtakatifu. Muda huu ndo napata kugundua kuwa hakuna maisha pasi na mwanamke. Nimekaza sana ndugu zanguni, huu ni mwezi wa sita sijaiona mbususu tofauti na kwenye simu tu.
Hii ilikuwa ni baada ya kugundua kuwa hawa viumbe wanamaliza sana mifuko yetu, almanusra nife bila kibanda. Kwa kuwa tayari nishamfukuzaga mama Yeyoo kwa kosa la kuninyima uchi, hivyo nikaamua kuishi maisha ya kitawa. Nimechoka sasa. Nimechoka, nimechoka sana. Ifike mahali tuwaheshimu, kisha tuwape maua yo watoto wa kike
Yaani hapa kumkichwa kumevurugika sana, mpaka ndugu, jamaa na marafiki wananisuta kwa kuwa nimekuwa mraibu, wananishauri ingelipendeza nikawa mraibu wa pombe kuliko mraibu wa wazungu. Kiufupi tu, ngozi imekauka, macho yametumbukia ndani, sura imeota makunyanzi, miguu imeanza tabia za Mayele
Nasemaje, imetosha.
Ndiyo kupoje huko...Weeee kuwekana muhimu lo
ππππππShukhrani mkuu, napata kuamini ule msemo wa wanaume tumeumbiwa mateso. Kumbe ndo maana Sir God alimuumbia Adam mwanamke, coz alijua hatotoboa kupitia CHAPUTA