Hakuna mama mkwe anaempenda mkwe wake 100%

Hakuna mama mkwe anaempenda mkwe wake 100%

FUATILIA MAISHA YA MWANZO YA BINADAMU, SHETANI NI MWANAMKE.

HAPAJAWAHI TOKEA MWANAMKE AKAMPENDA MWANAMKE MWENZAKE,
HATA HAWA WANAHARAKATI ZA WANAWAKE, WANAFANYA HIVYO KWA SBB YA FEDHA.

MATESO YA MWANAMKE MAJUMBANI YANAFANYWA NA MWANAMKE
MATESO YA MWANAMKE MAOFISINI YANAFANYWA NA MWANAMKE
 
Wakuu

Huwa sipendi kuficha

Kwenye ndoa zetu hizi mama mkwe kumpenda mkwewe asilimia mia ni kitu ambacho hakiwezekani. Huwa wanawapenda ki-uongo tu na ki-nje nje. Sababu kubwa ni kuwa kutokana na upendo wa mama kwa mwanae huona Kama mtoto wake anapoenda kuoa inamaana yeye (mama) ni kama anamkabidhi mwanae akatunzwe sasa na mwanamke mwengine..! Japo haiwezekani mama kuzuia hilo lazima protocol ziende kama zilivyo. Matokeo yake

Mama kama anakaa hapo kwa mwanae Visa vitaanza dhidi ya mkwewe kila kukicha visivyo na kichwa wala miguu. Na sisi watoto wa kiume tunajikuta tunamsikiliza mama zaidi kwenye utetezi wao wote wawili.

Kumbe tunawaumiza wake zetu sana na huenda wanatupenda sana na ndo maana wameamua kuishi na sisi majumbani na kuondoka kwao,
Kuchukua jina lako na kuacha la baba yake.

Nakumbuka nilipokuwa mdogo mama yangu aliteseka sana kutokana na usumbufu na ugomvi usiokwisha kila siku kutoka kwa bibi mzaa baba (alikuwa katoka musoma) .
Siku nyingine akisalimiwa haitiki usiposalimia anasema kwa baba kwamba mkewe (mama) ni jeuri.

Siku moja mama alikuwa anamwaga maji nje na bibi amekaa mbali kwenye mkeka ghafla akaanza kupiga kelele(bibi) huku akimuita baba
"mwenga amenimwagieko maji "

Kwamba mama amemwagia maji mguuni. Huku analia. Akaulizwa yako wapi uliyomwagiwa? Hakuna..! Kakazana tu anasema atamlaani baba kisha anatishia kubeba mizigo arudi musoma...! Visa vingine vingi.

Since kipindi hicho nimejifunza mke ukae nae wewe na mama yako asikae hapo mjengee nyumba jitahidi au kama ana kwake na baba waache wakae Wale uzee wao..

Usijaribu
INATEGEMEA MKUU
 
Lkn hii sio kwa wamama wote wengine ni waelewa na wanaishi vizuuuuli na wakwe zao ,sio kila mwanamke ni mkorofi unaweza ukakaaa na mama yako mzazi na mkeo nyumba moja na maisha yakawa ya amani raha bin mustarehe.
 
Mkwe atakupenda endapo utakuwa unatuma 50k-100k kila mara, otherwise utanafikiwa tu!
aiseee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kumbe kutoa hela kwa mama mkwe inatakiwa pia
 
Mimi always watu wanaoishi n wake zao kwenye nyumba moja tena bora iwe ya mwanaume..unakuta mwanaume anaishi na mkewake kwao! Huwa roho inaniumaga sana naona kuwa mke ana mtihan mkubwa sanaa
 
Back
Top Bottom