Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Saa 12 asubuhi upo ofisini wkt server ime log post yako 9:22 AM? Kila mwanamke yupo tofauti. Lkn kitu kimoja kinachowafanya wafanane ni kwamba hawapendi ku share income yao na waume zao. Ni wabahili sana hata kwa watoto waliyowazaa hawataki kutumia sentano if they can get away with it. Hii hoja yangu ya mwisho siwezi kusisitiza vya kutosha maana it’s a fact of life kwa wanandoa wengi sana. Wanawake wanapenda wapewe na wachukue tu. Ni one-way street . Ukimwacha mke utaona quality of life yake itaporomoka ghafla. Na ukimwachia watoto ukasepa zako hapo ndiyo utakuwa umemmaliza kabisa hadi kifo.
"naandika haya nikiwa hapa kwenye kiti changu ofisini tangu saa 12 asubuhi". Usichoelewa ni nini? Nimesema naandika saa 12 asubuhi? Unataka niandike saa 3 halafu server isome saa 12?