chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Hata kama mwanamke haangalii pesa, ni muhimu mtu kuwa na pesa.Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Mkuu,Hakuna Mwanamke anaekupenda endelea kujidanganya tu ananipenda ananipenda, kinachopendwa ni kile ulichonacho sasa jiulize una nini?
Tunakunywa maji tunalala๐คฃ๐คฃbabe vumilia huenda kesho mambo yatajipaBila pesa mtakula nini mkimaliza kufanya hayo mapenzi yenu?
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Basi tulia usubiri wenye hela zao wamnunulie chakula ๐๐. We kunywa maji kila siku unaweza?Tunakunywa maji tunalala๐คฃ๐คฃbabe vumilia huenda kesho mambo yatajipa
๐๐๐๐Basi tulia usubiri wenye hela zao wamnunulie chakula ๐๐. We kunywa maji kila siku unaweza?
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Kabisa mzee ni nini kakipend toka kwako unabd ukijueHakuna Mwanamke anaekupenda endelea kujidanganya tu ananipenda ananipenda, kinachopendwa ni kile ulichonacho sasa jiulize una nini?
'If it doesn't break the laws of science, then it is entirely possible'Kugongewa hakuepukiki hata uwe na kibunda