chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama mwanamke haangalii pesa, ni muhimu mtu kuwa na pesa.Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Mkuu,Hakuna Mwanamke anaekupenda endelea kujidanganya tu ananipenda ananipenda, kinachopendwa ni kile ulichonacho sasa jiulize una nini?
Tunakunywa maji tunalala🤣🤣babe vumilia huenda kesho mambo yatajipaBila pesa mtakula nini mkimaliza kufanya hayo mapenzi yenu?
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Basi tulia usubiri wenye hela zao wamnunulie chakula 😂😂. We kunywa maji kila siku unaweza?Tunakunywa maji tunalala🤣🤣babe vumilia huenda kesho mambo yatajipa
🙌🙌🙌🙌Basi tulia usubiri wenye hela zao wamnunulie chakula 😂😂. We kunywa maji kila siku unaweza?
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Kabisa mzee ni nini kakipend toka kwako unabd ukijueHakuna Mwanamke anaekupenda endelea kujidanganya tu ananipenda ananipenda, kinachopendwa ni kile ulichonacho sasa jiulize una nini?
'If it doesn't break the laws of science, then it is entirely possible'Kugongewa hakuepukiki hata uwe na kibunda