Unataka kuolewa au unataka mwenye Pesa?Ndio hivyoo tu
Napigilia msumari! Wengi wanaoa malaya!Mnaoa malaya mnajichanganya kufikiri ni wives.
Sadio MoneyNapigilia msumari! Wengi wanaoa malaya!
Tafuta binti kutoka familia inayojielewa! Kwanza huyo binti kukukubali mpaka akusome na kujiridhisha! Ukifanikiwa akakuelewa mpaka umuoe lazima ufuate taratibu zote! Unaweza usimgonge mpaka ndoa! Ukibaatika kuoa kwa njia hii! Hiyo ndoa mkataba! Kuchepuka ni zero tolerance!
Mkuu kumbe unatesekaga na haya makitu yanayoitwa mapenzi
Hapana.Mkuu kumbe unatesekaga na haya makitu yanayoitwa mapenzi
Pesa ya mboga haikosekani tatizo kuridhika na kidogo maana kikubwa cha baragumu......kuna mmoja hapa jf alikuwa analalamika mumewe hata kutafuta pesa ajenge bafu la kisasa la shower na cooler system kazi kumtuma mimaji ya kuoga na ndoo bafuni.....π π πBila pesa mtakula nini mkimaliza kufanya hayo mapenzi yenu?
Haya maswali yote yanatakiwa yawepo kwenye hojaji ya maswali yasiyopungua 100 yatakayoambatanishwa kwenye mkataba wa ndoa na pre-nuptial agreement.Pesa ya mboga haikosekani tatizo kuridhika na kidogo maana kikubwa cha baragumu......kuna mmoja hapa jf alikuwa analalamika mumewe hata kutafuta pesa ajenge bafu la kisasa la shower na cooler system kazi kumtuma mimaji ya kuoga na ndoo bafuni.....π π π
Tamaa na kuridhikaHaya maswali yote yanatakiwa yawepo kwenye hojaji ya maswali yasiyopungua 100 yatakayoambatanishwa kwenye mkataba wa ndoa na pre-nuptial agreement.
Nyie hii dunia ni mtu na mtuwe. Kuna dem unamkuta sura baba na wajomba zake ila ana pete mbili. Nyie hii dunia iacheni tu. Mademu wabovu hutulia sana kwenye ndoa wakijua wamesitiriwa tu na hakuna anae washobokea.Kama ingekuwa hivyoo wanaume maskini wangekuwa single
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Hili la muhimu kweliHakuna Mwanamke anaekupenda endelea kujidanganya tu ananipenda ananipenda, kinachopendwa ni kile ulichonacho sasa jiulize una nini?