Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

ukweli ni kitu gani?

Hayana formular hata wenye pesa wanasalitiwa , hisia za mtu huwa haziangalii umaskini wa mtu anaweza kukuacha wewe mwenye pesa na akamfata asie na kitu
 
Mnaoa malaya mnajichanganya kufikiri ni wives.
Napigilia msumari! Wengi wanaoa malaya!

Tafuta binti kutoka familia inayojielewa! Kwanza huyo binti kukukubali mpaka akusome na kujiridhisha! Ukifanikiwa akakuelewa mpaka umuoe lazima ufuate taratibu zote! Unaweza usimgonge mpaka ndoa! Ukibaatika kuoa kwa njia hii! Hiyo ndoa mkataba! Kuchepuka ni zero tolerance!
 
Sadio Money
 
Bila pesa mtakula nini mkimaliza kufanya hayo mapenzi yenu?
Pesa ya mboga haikosekani tatizo kuridhika na kidogo maana kikubwa cha baragumu......kuna mmoja hapa jf alikuwa analalamika mumewe hata kutafuta pesa ajenge bafu la kisasa la shower na cooler system kazi kumtuma mimaji ya kuoga na ndoo bafuni.....😅😅😅
 
Haya maswali yote yanatakiwa yawepo kwenye hojaji ya maswali yasiyopungua 100 yatakayoambatanishwa kwenye mkataba wa ndoa na pre-nuptial agreement.
 
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.

Tafakuri ya leo: Hupendwi, mwanamke yuko na wewe kwa sababu kuna kitu anapata/anatarajia

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana, ngoja waje... Japo misha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom