Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

Pata mmasai kama hizo kero utaziskia sema tu wale watu wanahasira ujipange ukimzingua
Sasa Wewe mtafute huyo mmasai uwe hauna ng'ombe.. wamasai wenzake watakuwa wanachomeka mikuki tu nnje ya mlango[emoji23][emoji23][emoji23] itabidi ujiite Vumilia tu
 
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
Mwanaume noliyemuacha akina hii atashangaa snπŸ€”
Maana ilikuwa enzi hizo akijitahidi kakupa nauli,buku buku 2, elf 10 cash labda nauli sio zaidi
Na Wala nilikuwa sijali

Ndo maana Huwa nashangaa sn
 
Sio tu hivyo mkuu,,, siku hizi ikitongoza unaulizwa utanilipa sh ngapi. Hamna mapenzi. Weka hela mezani kula mzigo
 
Sio tu hivyo mkuu,,, siku hizi ikitongoza unaulizwa utanilipa sh ngapi. Hamna mapenzi. Weka hela mezani kula mzigo
Sio mpak kutongoza Yan siku hzi ukichukua namba tu baada ya salami utaambiwa alafu nna shida ya 20000 hapa naomba nitumie kwanza.
 
Kujiingiza kwenye mapenzi na huna pesa ni kujiaibisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…