Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

Ukweli mchungu, ni kuwa hii biashara ya mapenzi na ndoa, ilikuwa biashara ya kubadilisha vitu "barter trade"
Mume anampa mke chakula, ulinzi, malazi, mavazi...

Mke anatoa uhuru wake, mwili wake, utii kwa mume..

Sasa ingiza pesa hapo uone equation Inavyokataa!
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Masikini atakupa nini wewe?
Nisikilixe vizuri.
Kwa sasa sitaki kuwasikia niliwapenda nilijitolea muda wangu na namapenzi yangu nilimsaidia nilimpa kila anachohitaji akamuoa mzungu yupo nje . Sihitaji hao tena saivi nahitaji matajiri nilifanywa kitega uchumi kwa muda sana so nipo now nahitaji pesa na mtu mwenye nazo anioe
 
Kwa hio ndio hivyo tu?
 
Back
Top Bottom