Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wahenga walisema mwisho wa ubaya ni aibu.
Hatimaye baada ya kifo cha Magufuli sasa mambo yote hadharani, mbunge wa Biharamuro amemueleza wazi Rais Mama Samia kwamba wananchi wanalalamika kudhulumiwa jina la hifadhi yao ya Burigi na kuingizwa neno Chato na entry gate kwenda kuwekwa kilometers nyingi ambazo ni umbali mrefu na ziwa Burigi kwa maslahi ya Magufuli (Hakutajwa jina kwa kumsitiri)
Kwa jinsi mbunge yule alivyokuwa anaongea fact mbele ya Rais sasa ni dhahiri utawala wa kifashisti wa dikteta Magufuli ulijaa dhulma na kuwajaza hofu wananchi, nashauri serikali isifanye maridhiano na Chadema tu bali Watanzania wote wapewe fursa ya kueleza dhulma na utawala wa kifashisti ulioangushwa na kumalizwa na Mungu mwenyewe.
Ni ayo tu.
Unaweza kusoma hii link hapa chini pia.
www.jamiiforums.com

Ezra Chiwelesa: Natambua Juhudi za Hayati Magufuli Kututoa kwenye Pori la Burigi
Mbunge wa Biharamulo, Ezra Chilewesa akiwa Bungeni ametambua juhudi za Hayati Magufuli kwenye jimbo lake kwa kuhakikisha anawatoa kwenye pori la Burigi ambalo lilitumika kwenye utekaji na unyanyasaji wa watu wa Biharamulo kwa muda mrefu na kuwa sehemu ya kujivunia. Mbunge Ezra amesema pamoja na...