Hakuna mbuga inayoitwa Burigi, bali kuna hifadhi ya Burigi na iko documented hivyo

Hakuna mbuga inayoitwa Burigi, bali kuna hifadhi ya Burigi na iko documented hivyo

Hivi andiko la tathmini juu ya adhari za mazingira na kijamii lipo?. Anyama watakapowageukia wananchi ? NEMC waliridhia utaratibu?
Wahenga walisema mwisho wa ubaya ni aibu.

Hatimaye baada ya kifo cha Magufuli sasa mambo yote hadharani, mbunge wa Biharamuro amemueleza wazi Rais Mama Samia kwamba wananchi wanalalamika kudhulumiwa jina la hifadhi yao ya Burigi na kuingizwa neno Chato na entry gate kwenda kuwekwa kilometers nyingi ambazo ni umbali mrefu na ziwa Burigi kwa maslahi ya Magufuli (Hakutajwa jina kwa kumsitiri)

Kwa jinsi mbunge yule alivyokuwa anaongea fact mbele ya Rais sasa ni dhahiri utawala wa kifashisti wa dikteta Magufuli ulijaa dhulma na kuwajaza hofu wananchi, nashauri serikali isifanye maridhiano na Chadema tu bali Watanzania wote wapewe fursa ya kueleza dhulma na utawala wa kifashisti ulioangushwa na kumalizwa na Mungu mwenyewe.

Ni ayo tu.

Unaweza kusoma hii link hapa chini pia.

Mimi sio mgeni na tabia za wabunge wa CCM, tatizo lenu akiwemo mleta mada mkiona issue ya Magufuli wengi wenu hukurupuka kwa mihemko kuchangia mada bila kutumia akili zenu, mmekariri kila baya Tanzania wakati wa utawala wake chanzo chake kilikuwa Magufuli, sio kweli.
Ndiyo uuambie umma chanzo cha maujingaujinga alikuwa nani ili tusikurupuke na kuwa wajinga.Come,karibu!
 
bila huyo kuna wachumia tumbo vitambi wakiongozwa na mama yao, uongozi wangeusikia kwa jirani.Dunia imejaa watu wanafki sana , wamemuua haitoshi kinachoendeea ni propaganda za kumfuta vichwani, nawambia hakuna kinyago yoyote atakayefikia jitiada za mwamba akiongozwa na huyo mnafiki wenu wa msoga.
 
Kama ambavyo hatamsahau Lisu alivyomlambisha mchanga kwenye kampeni. Hadi ikibidi anajisi uchaguzi.
Lisu huyu huyu akiekimbia nchi kwa kuogopa usalama wake ndio amlambishe mchanga Magu?

Alimrambisha akiwa wapi na wakati alikimbilia ubegiji kwa amstwrdam?
 
Moderator aliyeedit thread hii naomba nieleweke, heading ilikuwa "hakuna mbuga inayoitwa Burigi Chato bali kuna hifadhi ya Chato tu na iko documented".

Naomba mods mfanye editing kwenye heading, na haya ndio tunayalalamikia kila maboresho yakifanyika JF thread bado mnazihodhi nyinyi na Author hamumpi access ya kuedit heading.

Cc: Maxence Melo
 
Mzilankende Mnyago Anakumbukwa Na Serikali Yake Kwa Mambo Mazuri Aliyoyafanya
 
Wananchi walishamzika na nyomi tuliiona sasa unataka wafanye maridhiano gani tena na mtu ambaye washasema hawamuelei?
Kitu muhimu ni kuwa na maridhiano na watu waishi kwa amani haya mambo ya kushindanisha nani ni nani hayana msingi.

N.B Pablo Escobar alizikwa na nyomi la hatari licha ya kuwa mtu tishio.

Hebu funikeni yaliyopita tuende na kitabu kilichopo.
 
Kama ambavyo hatamsahau Lisu alivyomlambisha mchanga kwenye kampeni. Hadi ikibidi anajisi uchaguzi.
Kwahiyo asingekuwepo Jiwe ndio ccm ingekubali kushindwa na Lissu?
 
Lisu huyu huyu akiekimbia nchi kwa kuogopa usalama wake ndio amlambishe mchanga Magu?

Alimrambisha akiwa wapi na wakati alikimbilia ubegiji kwa amstwrdam?

Kwani Magu alikuwa anammudu one against one, au kupitia madaraka yake na kundi lake la watu wasiojulikana?
 
Chadema haitamsahau alivyowatenda 2020
Na yeye huko jehanam hatasahau dua zilizofanyika tarehe 27/10/2020 kulaani yeyote atakayeharibu uchaguzi yamkute makubwa na ndiyo yaliyomkuta hadi leo anabanikwa kama ndafu huko jehanam
 
Kitu muhimu ni kuwa na maridhiano na watu waishi kwa amani haya mambo ya kushindanisha nani ni nani hayana msingi.

N.B Pablo Escobar alizikwa na nyomi la hatari licha ya kuwa mtu tishio.

Hebu funikeni yaliyopita tuende na kitabu kilichopo.
Ndio nasema kwamba watu walimuelewa Jiwe na wakaonesha hilo kwenye mazishi yake, kwahiyo hayo maridhiano yafanyike na wanasiasa na maisha yaendelee na kumuacha marehemu apumzike.
 
Wahenga walisema mwisho wa ubaya ni aibu.

Hatimaye baada ya kifo cha Magufuli sasa mambo yote hadharani, mbunge wa Biharamuro amemueleza wazi Rais Mama Samia kwamba wananchi wanalalamika kudhulumiwa jina la hifadhi yao ya Burigi na kuingizwa neno Chato na entry gate kwenda kuwekwa kilometers nyingi ambazo ni umbali mrefu na ziwa Burigi kwa maslahi ya Magufuli (Hakutajwa jina kwa kumsitiri)

Kwa jinsi mbunge yule alivyokuwa anaongea fact mbele ya Rais sasa ni dhahiri utawala wa kifashisti wa dikteta Magufuli ulijaa dhulma na kuwajaza hofu wananchi, nashauri serikali isifanye maridhiano na Chadema tu bali Watanzania wote wapewe fursa ya kueleza dhulma na utawala wa kifashisti ulioangushwa na kumalizwa na Mungu mwenyewe.

Ni ayo tu.

Unaweza kusoma hii link hapa chini pia.

Legasi oyeeeee !!!

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Back
Top Bottom