Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwahiyo asingekuwepo Jiwe ndio ccm ingekubali kushindwa na Lissu?
Bado wapinzani wangeendelea kuongeza viti vya ubunge na udiwani, kama walivyokuwa wakiongeza kila uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo asingekuwepo Jiwe ndio ccm ingekubali kushindwa na Lissu?
Hao ndio CCM.Hata huyu mzanzibar siku akitoka madarakani watamsema sn
Ndio nasema kwamba watu walimuelewa Jiwe na wakaonesha hilo kwenye mazishi yake, kwahiyo hayo maridhiano yafanyike na wanasiasa na maisha yaendelee na kumuacha marehemu apumzike.
CCM ni matapeliHao ndio CCM.
Wewe ulipanda huo usafiri ulipouona? Waliyoenda walienda kwa mapenzi yao iwe kwa usafiri wao au wa kupewa.Yale mazishi yaliyopewa promo hadi kutolewa usafiri wa bure kwenda msibani? Wangeachwa na wale waliokuwa wanashangilia kifo kile tupime kukubalika kwake.
Kumbe kelele zote ni za udiwani na ubunge tu urais msharidhika kuwa lazima awe ccm, sasa Magu aliamua kutumia uwezo wa ccm hadi huko kwenye udiwani na ubunge.Bado wapinzani wangeendelea kuongeza viti vya ubunge na udiwani, kama walivyokuwa wakiongeza kila uchaguzi.
Bado unaamini katika uchaguzi huru mkuu,au unamaanisha nyomi wakati wa kampeni?ccm waroho wa madaraka na waoga kuondoka madarakani.2015 baada ya jina la Lowassa kukatwa, Jiwe ndio ilikuwa karata ya mwisho kuiokoa CCM kuingia madarakani.
Najaribu kuwaza 2015 ingekuwa Lowassa Vs Mama Samia nini kingetokea?
Wewe ulipanda huo usafiri ulipouona? Waliyoenda walienda kwa mapenzi yao iwe kwa usafiri wao au wa kupewa.
Yani wewe bado unapima kukubalika kwa Jiwe? Hivi we kweli upo Tanzania au ndio upo nje unafuatilia habari za Tz kupitia mitandao?
Sasa hao waliyokuwa wanashangilia ulitaka waachwe ili uone wingi wao au uone tu wakishangilia?
Hii inadhihirisha jinsi CCM kilivyo cham cha hivyo kabisa, kinalazimisha tuongizwe na viongozi wezi, wengi na wajinga. Hatuwezi kufanikiwa kama nchi chini ya uongozi wa CCM. Katiba mpya ni sasaWahenga walisema mwisho wa ubaya ni aibu.
Hatimaye baada ya kifo cha Magufuli sasa mambo yote hadharani, mbunge wa Biharamuro amemueleza wazi Rais Mama Samia kwamba wananchi wanalalamika kudhulumiwa jina la hifadhi yao ya Burigi na kuingizwa neno Chato na entry gate kwenda kuwekwa kilometers nyingi ambazo ni umbali mrefu na ziwa Burigi kwa maslahi ya Magufuli (Hakutajwa jina kwa kumsitiri)
Kwa jinsi mbunge yule alivyokuwa anaongea fact mbele ya Rais sasa ni dhahiri utawala wa kifashisti wa dikteta Magufuli ulijaa dhulma na kuwajaza hofu wananchi, nashauri serikali isifanye maridhiano na Chadema tu bali Watanzania wote wapewe fursa ya kueleza dhulma na utawala wa kifashisti ulioangushwa na kumalizwa na Mungu mwenyewe.
Ni ayo tu.
Unaweza kusoma hii link hapa chini pia.
Ezra Chiwelesa: Natambua Juhudi za Hayati Magufuli Kututoa kwenye Pori la Burigi
Mbunge wa Biharamulo, Ezra Chilewesa akiwa Bungeni ametambua juhudi za Hayati Magufuli kwenye jimbo lake kwa kuhakikisha anawatoa kwenye pori la Burigi ambalo lilitumika kwenye utekaji na unyanyasaji wa watu wa Biharamulo kwa muda mrefu na kuwa sehemu ya kujivunia. Mbunge Ezra amesema pamoja na...www.jamiiforums.com
Kelele kubwa ni ya kura za urais, huenda hujui unachoongea boss. Magu alichofanya sio uwezo wa CCM, bali ulikuwa ni ulevi wa madaraka. Mtu mjinga tu ndio anaweza kusifia ule ushenzi ili kupata ushindi kwa chama chenye miaka zaidi ya 50.Kumbe kelele zote ni za udiwani na ubunge tu urais msharidhika kuwa lazima awe ccm, sasa Magu aliamua kutumia uwezo wa ccm hadi huko kwenye udiwani na ubunge.
Mtu ambaye mnasema alikuwa katili na anawauwa hadi mkaomba dua kwa Mungu ndio baada ya kufa muende kumzika muuwaji wenu kwa umati ule? Binafsi sikutegemea kitu hicho.Kipimo halisi cha kukubalika ni kuheshimu uchaguzi, kinyume na hapo ni utapeli wa mchana kweupe. Na kwenye uchaguzi hakuheshimu, ww unatuletea kipimo cha mahudhurio ya msiba kama kipimo cha kukubalika?!
Hao waliokuwa wanashangilia tungepima kutokukubalika kwake, maana unataka tuone walioshiriki ndio kipimo cha kukubalika kwake.
Mtu ambaye mnasema alikuwa katili na anawauwa hadi mkaomba dua kwa Mungu ndio baada ya kufa muende kumzika muuwaji wenu kwa umati ule? Binafsi sikutegemea kitu hicho.
Sijasema alipendwa na watu wote ila nilitegemea kuona watu wachache kwenye mazishi yake na wengi kubaki majumbani kufurahia kifo chake.
Dalili ya kwamba hawakuwa wakimuona ni katili na muuwaji wao.Hao uliiowaona ndio waliokuwa wanampenda. Isitoshe watu kuhudhuria msiba wako ni dalili kubwa wanakupenda?
Kwa jinsi mbunge yule alivyokuwa anaongea fact mbele ya Rais sasa ni dhahiri utawala wa kifashisti wa dikteta Magufuli ulijaa dhulma na kuwajaza hofu wananchi, nashauri serikali isifanye maridhiano na Chadema tu bali Watanzania wote wapewe fursa ya kueleza dhulma na utawala wa kifashisti ulioangushwa na kumalizwa na Mungu mwenyewe.Wahenga walisema mwisho wa ubaya ni aibu.
Hatimaye baada ya kifo cha Magufuli sasa mambo yote hadharani, mbunge wa Biharamuro amemueleza wazi Rais Mama Samia kwamba wananchi wanalalamika kudhulumiwa jina la hifadhi yao ya Burigi na kuingizwa neno Chato na entry gate kwenda kuwekwa kilometers nyingi ambazo ni umbali mrefu na ziwa Burigi kwa maslahi ya Magufuli (Hakutajwa jina kwa kumsitiri)
Kwa jinsi mbunge yule alivyokuwa anaongea fact mbele ya Rais sasa ni dhahiri utawala wa kifashisti wa dikteta Magufuli ulijaa dhulma na kuwajaza hofu wananchi, nashauri serikali isifanye maridhiano na Chadema tu bali Watanzania wote wapewe fursa ya kueleza dhulma na utawala wa kifashisti ulioangushwa na kumalizwa na Mungu mwenyewe.
Ni ayo tu.
Unaweza kusoma hii link hapa chini pia.
Ezra Chiwelesa: Natambua Juhudi za Hayati Magufuli Kututoa kwenye Pori la Burigi
Mbunge wa Biharamulo, Ezra Chilewesa akiwa Bungeni ametambua juhudi za Hayati Magufuli kwenye jimbo lake kwa kuhakikisha anawatoa kwenye pori la Burigi ambalo lilitumika kwenye utekaji na unyanyasaji wa watu wa Biharamulo kwa muda mrefu na kuwa sehemu ya kujivunia. Mbunge Ezra amesema pamoja na...www.jamiiforums.com
Dalili ya kwamba hawakuwa wakimuona ni katili na muuwaji wao.
Inaonekana wewe hujahudhuria hata mazishi ya vibaka na majambazi hupata mahudhurio makubwa na vilio vya kuchekelea utawala eneo hilo.Mtu ambaye mnasema alikuwa katili na anawauwa hadi mkaomba dua kwa Mungu ndio baada ya kufa muende kumzika muuwaji wenu kwa umati ule? Binafsi sikutegemea kitu hicho.
Sijasema alipendwa na watu wote ila nilitegemea kuona watu wachache kwenye mazishi yake na wengi kubaki majumbani kufurahia kifo chake.