Hakuna mchezaji aliyefikia kiwango cha Pele?

Ronaldinho alikuwa ni kitu kingine, amepata tuzo zote unazozijua, Gaucho ni kitu kingine! Gaucho alikuwa na kila kitu kama footballer, hivyo ni aibu kumlinganisha Messi na Gaucho.
Watakuja hapa kukubishia
Uko sahihi mkuu
 
Reactions: BAK
Hatuzungumzii vikombe tunalinganisha viwango..
Kuna mchezaji aliyecheza kiwango Cha juu sana akakosa vikombe muhimu?
Nitajie hao legends wa zamani ambae alicheza kiwango cha juu kuliko mchezaji yoyote kisha akakosa kutwaa World Cup
 
Reactions: BAK
Hatuzungumzii vikombe tunalinganisha viwango..

Mkuu usipoteze muda wako kubishana na hawa watu wasiomkubali MESSI na DIEGO! pele na makombe yake yote na magoli yake ya offside lakini bado kapitwa mbali mno na MARADONA, wakati huyo huyo pele huwezi kumweka pa1 na kina messi na zidane.
 
Ronaldinho alikuwa ni kitu kingine, amepata tuzo zote unazozijua, Gaucho ni kitu kingine! Gaucho alikuwa na kila kitu kama footballer, hivyo ni aibu kumlinganisha Messi na Gaucho.

Yani wewe ndio haupo ktk hii dunia! Unamlinganisha Magician of world na mzee wa mauno na kukenua meno na kujionyesha uwanjani yeye ndiyo yeye, wakati MESSI hayo mambo hana kabisaa na waargentina ndivyo walivyo hawapendi misifa ya kipumbavu ni kazi kwenda mbele! we vipi
 
Ukitaka kuzungumzia mpira wa miguu, Ronadinho muweke kando mapema sana
 
After Maradona Nabii wa mwisho wa soka ni Gaucho
Hajatokea mwengine
Messi is ok but not so great
 
Reactions: BAK
Kama MESSI hatapata kombe la dunia atabaki kuwa mchezaji aliyewika tu!
 
1:MARADONA- ARGENTINA
2:MESSI- ARGENTINA
3:NO
4:NO
5:ZINEDINE- FRANCE
6;PELE- BRAZIL
7:BECKENBAUER- GERMANY
8:ALFREDO DE STEFANO- ARGENTINA
9:CR7- PORTUGAL
10:GEORGE BEST- NORTH IRELAND
11:REDONDO- ARGENTINA
.
.
.
.
.
Ukichaa wako wa kuzaliwa au kulogwa?kama ni kurogwa tukupeleke kwa Sangoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…