zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 541
pele hana jipya wakati wao kulikuwa hakuna offside. gaucho ni best player
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdomo Mali yako, lakini ukiongea hivi mbele za watu utaumuka kwa kipigo kitakatifu.pele kapitwa hata na mbwana samata
😀%kubwa magoli yake yalikuwa ya offside, kipindi hicho offside haikuwepo,
Sasa zilikuwa vipi offside kama offside hazikuwepo?😀%kubwa magoli yake yalikuwa ya offside, kipindi hicho offside haikuwepo,
anaitwa "puskas"mbona wapo wengi tu
unamjua Zicco?
unamjua Eusebio?
Marco Van Basten?
kuna mchezaji wa Hungary acha kabisa mechi ya kwanza ya gruop aliwapiga west German bao kama nne
ajabu fainali West German wanashinda kwa mbinu tu
hungary ilikuwa inatisha dunia nzima..
wapo wengi sana...hata George Weah huwezi mlinganisha na kina Klose waliochukua ubingwa juzi tu hapo brazil
Ni kumkosea CR7 heshima kumlinganisha na Neymar kwa sasa ila Neymar ni very promising naamini atavunja records nyingiNeymar vs cr7???
kweli mkuu neymar ana kipaji na anaweza kufika mbaliNi kumkosea CR7 heshima kumlinganisha na Neymar kwa sasa ila Neymar ni very promising naamini atavunja records nyingi
Walikua wazuri ila Neymar ni exceptional, angalia rate yake ya magoli hao wote hawamgusi, Brazil anamfukuzia Pelle na De Lima kwa utop scorer. Halafu Neymar ni pure talent kwa skills mguuni hata messi hamgusi hawakosei wanapomuita natural flair. Ni very promising akitulia na kuacha mambo yao ya samba, utoto na kupiga mazoezi in a couple years Atakua mchezaji hatari sanakweli mkuu neymar ana kipaji na anaweza kufika mbali
ila naskitika sana kwa andriano pato na luis fabiano nao walikuwa wana vipaji sana sijui kiliwakuta nini au ndo mambo ya samba festival yamewaharibu??
Sir Stanley Matthews, Alfredo Di Stephano, Ferenc Puskas, Johan Cruyff, Eusebio, Michel Platini, Oleg Blokhin, Hristo Stoichkov, Gheorge Hagi, Andry Shevchenko, George Weah ... Unataka niendelee?Kuna mchezaji aliyecheza kiwango Cha juu sana akakosa vikombe muhimu?
Nitajie hao legends wa zamani ambae alicheza kiwango cha juu kuliko mchezaji yoyote kisha akakosa kutwaa World Cup
Naona ndio kauzi kenu mmeshikilia ili msianguke. Ha ha ha!Except World Cup ambayo ataiangalia sitting room kwenye runinga tu
sure ila naona pia atulie barca nature ya soka la barca linamfavour zaid na pia uwepo wa suarez na mesi utamfanya ajifunze mengi zaid asije akahama anaweza akapotea especially england hakumfaiWalikua wazuri ila Neymar ni exceptional, angalia rate yake ya magoli hao wote hawamgusi, Brazil anamfukuzia Pelle na De Lima kwa utop scorer. Halafu Neymar ni pure talent kwa skills mguuni hata messi hamgusi hawakosei wanapomuita natural flair. Ni very promising akitulia na kuacha mambo yao ya samba, utoto na kupiga mazoezi in a couple years Atakua mchezaji hatari sana
Tuambie Messi amebeba World Cup ya wapi,maana inaonekana mwenzetu upo Sayari nyingine ambayo Messi kachukua World Cup huko.
Giggs amepata kila kitu kwenye ngazi ya clab. Timu ya taifa hajapaya kitu.Sasa blazaaa Giggs naye ni legend.. Anapitwa kiwango na Thuwen Ally..
Until he wins World Cup he can't be compared to Maradona or Gaucho to say the leastNaona ndio kauzi kenu mmeshikilia ili msianguke. Ha ha ha!
Ronaldinho alikuwa ni kitu kingine, amepata tuzo zote unazozijua, Gaucho ni kitu kingine! Gaucho alikuwa na kila kitu kama footballer, hivyo ni aibu kumlinganisha Messi na Gaucho.
Uliowataja walikuwa wachezaji wazuri lakini sio kwa level Ya MaradonaSir Stanley Matthews, Alfredo Di Stephano, Ferenc Puskas, Johan Cruyff, Eusebio, Michel Platini, Oleg Blokhin, Hristo Stoichkov, Gheorge Hagi, Andry Shevchenko, George Weah ... Unataka niendelee?
Until he wins World Cup he can't be compared to Maradona or Gaucho to say the least