Hakuna mchezaji aliyefikia kiwango cha Pele?

Hakuna mchezaji aliyefikia kiwango cha Pele?

Punguza povu basi mkuu, umekisoma vizuri nilichoandika kweli, Sawa Dinho hakufanya kitu kule Korea na Japan, ila kamuulize David Seaman yule Goalkeeper wa England, Dinho ni nani? Zingatia sana neno HESHIMA, na neno langu sio Sheria

Ha haaa hilo goli ndio linamfanya aonekane bora zaidi ya messi? Kijana vipi are u seriouZ? Magoli ya messi yote ya akili na huwa hana papara yakuscore nje ya 18 na ndio kawaida yake ! kama ni magori ya hivyo maradona mbona anayo mengi tu! Kuna goli moja kascore akiwa middle of the field .Na clip zake zipo kama unataka nitume at now..... kwa taarifa tu huyo gaucho wako hata kwenye top 20 hayupo kabisa
 
Ha haaa hilo goli ndio linamfanya aonekane bora zaidi ya messi? Kijana vipi are u seriouZ? Magoli ya messi yote ya akili na huwa hana papara yakuscore nje ya 18 na ndio kawaida yake ! kama ni magori ya hivyo maradona mbona anayo mengi tu! Kuna goli moja kascore akiwa middle of the field .Na clip zake zipo kama unataka nitume at now
Halikufanya aonekane bora kuliko messi ila lilimfanya aonekane katoa mchango kwa taifa lake
 
Aina ya Pele haipatikani tena duniani....ni kama Michael Jackson, Mohamed Ali, Mandela, Lincoln, Nyerere n.k
 
pele ni mbunifu,inasemekana tik taka na chogochemba alizianzisha yeye thats why akaitwa legendary na hamna aliyevunja rekodi yake mpaka leo
 
pele ni mbunifu,inasemekana tik taka na chogochemba alizianzisha yeye thats why akaitwa legendary na hamna aliyevunja rekodi yake mpaka leo

Inasemekana inasemekana inasemekana huna hata uhakika unachokiongea mkuu! Kuvunja lekodi ya nini? Kama ni magoli anaongoza
 
oky.. u want to tell me gaucho is carrying his team mpaka inachukua cup?
Taratibu basi mkuu lugha za watu hizo, rudi tu kwenye kiswahili chetu, ingekuwa hivyo mbona ingekuwa kazi kweli, Messi angecheza peke yake dhidi ya watu 11 angeweza kweli? Hata kama hakuwika ila ana mchango kwa asilimia kadhaa, Big Phiri alimuacha Romario kwa ajili ya Dinho, sababu alijua kuna kitu ndani ya yule kijana mkuu
 
Asante mkuu kwa majibu mazuri hivi ndivyo inavyotakiwa tunayamaliza kwa uzuri...ila messi atabakia kuwa mfalme baada ya kakayake kustaafu soccer aka EL Diego! gaucho mwenyewe anatambua hilo mkuu
 
Asante mkuu kwa majibu mazuri hivi ndivyo inavyotakiwa tunayamaliza kwa uzuri...ila messi atabakia kuwa mfalme baada ya kakayake kustaafu soccer aka EL Diego! gaucho mwenyewe anatambua hilo mkuu
Inawezekana japo kwangu Dinho atabaki Best Player of all time, wengine nawapa heshima zao tu kwa waliyofanya, wanayofanya na watakayoyafanya
 
Asante mkuu kwa majibu mazuri hivi ndivyo inavyotakiwa tunayamaliza kwa uzuri...ila messi atabakia kuwa mfalme baada ya kakayake kustaafu soccer aka EL Diego! gaucho mwenyewe anatambua hilo mkuu
Nessi atakuwaje mfalme wa soka bila kushinda Fifa World Cup?
Atavunja records zote lakini Fifa World Cup ataiangalia kwenye runinga tu
 
Aina ya Pele haipatikani tena duniani....ni kama Michael Jackson, Mohamed Ali, Mandela, Lincoln, Nyerere n.k
Umemsahau Che Guevara na Tupac..

Hakuna aina ya Pele Kabisa.. Mungu hajaumba bado.

1.Pele
2.DM10
3.Dinho
 
Back
Top Bottom