SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Football IQ and accomplishmentsKwa vigezo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Football IQ and accomplishmentsKwa vigezo gani?
Punguza povu basi mkuu, umekisoma vizuri nilichoandika kweli, Sawa Dinho hakufanya kitu kule Korea na Japan, ila kamuulize David Seaman yule Goalkeeper wa England, Dinho ni nani? Zingatia sana neno HESHIMA, na neno langu sio Sheria
Halikufanya aonekane bora kuliko messi ila lilimfanya aonekane katoa mchango kwa taifa lakeHa haaa hilo goli ndio linamfanya aonekane bora zaidi ya messi? Kijana vipi are u seriouZ? Magoli ya messi yote ya akili na huwa hana papara yakuscore nje ya 18 na ndio kawaida yake ! kama ni magori ya hivyo maradona mbona anayo mengi tu! Kuna goli moja kascore akiwa middle of the field .Na clip zake zipo kama unataka nitume at now
Halikufanya aonekane bora kuliko messi ila lilimfanya aonekane katoa mchango kwa taifa lake
pele ni mbunifu,inasemekana tik taka na chogochemba alizianzisha yeye thats why akaitwa legendary na hamna aliyevunja rekodi yake mpaka leo
Asante pia kwa kufuta kauli yako kwamba Mwana wa Morreira hakuwa na mchango kwa Brazil pale Korea na JapanAsante sana...naona ushakubali MESSI habali ingine,
Asante pia kwa kufuta kauli yako kwamba Mwana wa Morreira hakuwa na mchango kwa Brazil pale Korea na Japan
Germany, lakini kumbuka wasingefika hapo bila kupitia makundi,16 bora,robo na nusuMkuu nikuulize tu....brazil ilikutana na nani world cup final 2002 na kubeba cup?
Germany, lakini kumbuka wasingefika hapo bila kupitia makundi,16 bora,robo na nusu
oky.. u want to tell me gaucho is carrying his team mpaka inachukua cup?
pele ni mbunifu,inasemekana tik taka na chogochemba alizianzisha yeye thats why akaitwa legendary na hamna aliyevunja rekodi yake mpaka leo
Taratibu basi mkuu lugha za watu hizo, rudi tu kwenye kiswahili chetu, ingekuwa hivyo mbona ingekuwa kazi kweli, Messi angecheza peke yake dhidi ya watu 11 angeweza kweli? Hata kama hakuwika ila ana mchango kwa asilimia kadhaa, Big Phiri alimuacha Romario kwa ajili ya Dinho, sababu alijua kuna kitu ndani ya yule kijana mkuuoky.. u want to tell me gaucho is carrying his team mpaka inachukua cup?
Mkishakula ugali wa shikamoo huwa mna manenooo, basi sawaaKamanda asikupotezee muda huyo. gaucho si lolote banaa
Taratibu basi mkuu lugha za watu hizo, rudi tu kwenye kiswahili chetu, ingekuwa hivyo mbona ingekuwa kazi kweli, Messi angecheza peke yake dhidi ya watu 11 angeweza kweli? Hata kama hakuwika ila ana mchango kwa asilimia kadhaa, Big Phiri alimuacha Romario kwa ajili ya Dinho, sababu alijua kuna kitu ndani ya yule kijana mkuu
Inawezekana japo kwangu Dinho atabaki Best Player of all time, wengine nawapa heshima zao tu kwa waliyofanya, wanayofanya na watakayoyafanyaAsante mkuu kwa majibu mazuri hivi ndivyo inavyotakiwa tunayamaliza kwa uzuri...ila messi atabakia kuwa mfalme baada ya kakayake kustaafu soccer aka EL Diego! gaucho mwenyewe anatambua hilo mkuu
Nessi atakuwaje mfalme wa soka bila kushinda Fifa World Cup?Asante mkuu kwa majibu mazuri hivi ndivyo inavyotakiwa tunayamaliza kwa uzuri...ila messi atabakia kuwa mfalme baada ya kakayake kustaafu soccer aka EL Diego! gaucho mwenyewe anatambua hilo mkuu
Umemsahau Che Guevara na Tupac..Aina ya Pele haipatikani tena duniani....ni kama Michael Jackson, Mohamed Ali, Mandela, Lincoln, Nyerere n.k