Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja hapa kukubishiaRonaldinho alikuwa ni kitu kingine, amepata tuzo zote unazozijua, Gaucho ni kitu kingine! Gaucho alikuwa na kila kitu kama footballer, hivyo ni aibu kumlinganisha Messi na Gaucho.
Messi hana hata world cup moja!!Kama kuna mchezaji kamzidi messi huyo basi mwanadamu.
Hatuzungumzii vikombe tunalinganisha viwango..Messi hana hata world cup moja!!
Kuna mchezaji aliyecheza kiwango Cha juu sana akakosa vikombe muhimu?Hatuzungumzii vikombe tunalinganisha viwango..
Hatuzungumzii vikombe tunalinganisha viwango..
Messi hana hata world cup moja!!
Kweli wewe nje ya maada na hongera kwa kujitambua1.Pele
2.DM10
3.Ronaldinho
Ronaldinho alikuwa ni kitu kingine, amepata tuzo zote unazozijua, Gaucho ni kitu kingine! Gaucho alikuwa na kila kitu kama footballer, hivyo ni aibu kumlinganisha Messi na Gaucho.
Unaumwa wewe, unamjua dinho au una msikia?Mkuu messi messi, ronaldinho hapo sio mahala pake! Hata top 20 hayumo kabisa
GiggsKuna mchezaji aliyecheza kiwango Cha juu sana akakosa vikombe muhimu?
Nitajie hao legends wa zamani ambae alicheza kiwango cha juu kuliko mchezaji yoyote kisha akakosa kutwaa World Cup
Nimefanya nini blazaaa?Kweli wewe nje ya maada na hongera kwa kujitambua
Sasa blazaaa Giggs naye ni legend.. Anapitwa kiwango na Thuwen Ally..Giggs
Kama MESSI hatapata kombe la dunia atabaki kuwa mchezaji aliyewika tu!Yani wewe ndio haupo ktk hii dunia! Unamlinganisha Magician of world na mzee wa mauno na kukenua meno na kujionyesha uwanjani yeye ndiyo yeye, wakati MESSI hayo mambo hana kabisaa na waargentina ndivyo walivyo hawapendi misifa ya kipumbavu ni kazi kwenda mbele! we vipi
Ha ha ha haaaaGiggs
Ukichaa wako wa kuzaliwa au kulogwa?kama ni kurogwa tukupeleke kwa Sangoma.1:MARADONA- ARGENTINA
2:MESSI- ARGENTINA
3:NO
4:NO
5:ZINEDINE- FRANCE
6;PELE- BRAZIL
7:BECKENBAUER- GERMANY
8:ALFREDO DE STEFANO- ARGENTINA
9:CR7- PORTUGAL
10:GEORGE BEST- NORTH IRELAND
11:REDONDO- ARGENTINA
.
.
.
.
.