DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Sio kweli. Legendary ni Diego Armando Maradona. Pele ni sehemu ya propaganda za fifa. Kumbuka nyota woooote waliowika wamecheza ulaya, tena vilabu vikubwa. Lakini huyu Pele yeye kacheza huko kwao na kamalizia soka lake kule marekani.
Kwangu Diego Maradona ndio mkali kuliko woote akifatiwa na Messi Gaucho, CR7 ndio wanafuata kina zizzou, Benkenbur nk
Hakuna kama mtakatifu Dinho Gaucho Mnyama,huyu ni Nabii na Mtume wa mwisho kwenye Soka,hatatokea mwingine kama kabla ya miaka 2000 kuisha.
WTF! Uyo "junky" drug addictSio kweli. Legendary ni Diego Armando Maradona. Pele ni sehemu ya propaganda za fifa. Kumbuka nyota woooote waliowika wamecheza ulaya, tena vilabu vikubwa. Lakini huyu Pele yeye kacheza huko kwao na kamalizia soka lake kule marekani.
Kwangu Diego Maradona ndio mkali kuliko woote akifatiwa na Messi Gaucho, CR7 ndio wanafuata kina zizzou, Benkenbur nk
HakunaKwa wale wenye umri mtakuwa mnamkumbuka pele wa Brazil miaka ya 60 na 70, lakini baadae miaka ya 80 aliibuka Maradona.
Miaka ya hivi karibuni akatokea De lima,Ronadinho, kaka nk.Sasa hivi wanavuma Christian Ronaldo na Lionel Messi, je inawezekana kati ya hawa wote hakuna aliyefika kiwango cha pele?