Hakuna mchezaji aliyefikia kiwango cha Pele?

Hakuna mchezaji aliyefikia kiwango cha Pele?

Hizo clip za mwanaume wa soka, mwenye nazo za king mesi atuwekee hapa
 
Maradona and Ronaldinho
Unbelievable talent
Tatizo ilikua nidhamu na bata kwa sana.
Imagine kama Ronaldinho angekua na discipline ya Cr7
 
Sio kweli. Legendary ni Diego Armando Maradona. Pele ni sehemu ya propaganda za fifa. Kumbuka nyota woooote waliowika wamecheza ulaya, tena vilabu vikubwa. Lakini huyu Pele yeye kacheza huko kwao na kamalizia soka lake kule marekani.

Kwangu Diego Maradona ndio mkali kuliko woote akifatiwa na Messi Gaucho, CR7 ndio wanafuata kina zizzou, Benkenbur nk

Ahsante sana mkuu
 
Pele
Maradona
Messi
Ronaldinho
Ronaldo de lima
Zidane
Eusebio
Zico
Platini
Romario.
 
Sio kweli. Legendary ni Diego Armando Maradona. Pele ni sehemu ya propaganda za fifa. Kumbuka nyota woooote waliowika wamecheza ulaya, tena vilabu vikubwa. Lakini huyu Pele yeye kacheza huko kwao na kamalizia soka lake kule marekani.

Kwangu Diego Maradona ndio mkali kuliko woote akifatiwa na Messi Gaucho, CR7 ndio wanafuata kina zizzou, Benkenbur nk
WTF! Uyo "junky" drug addict
 
Kwa wale wenye umri mtakuwa mnamkumbuka pele wa Brazil miaka ya 60 na 70, lakini baadae miaka ya 80 aliibuka Maradona.

Miaka ya hivi karibuni akatokea De lima,Ronadinho, kaka nk.Sasa hivi wanavuma Christian Ronaldo na Lionel Messi, je inawezekana kati ya hawa wote hakuna aliyefika kiwango cha pele?
Hakuna
 
Back
Top Bottom