Hakuna mchezaji nchini aliyewahi kuuzwa kwa bilioni 2.8. Kama tetesi ni za kweli hii itakuwa ya kwanza

Hakuna mchezaji nchini aliyewahi kuuzwa kwa bilioni 2.8. Kama tetesi ni za kweli hii itakuwa ya kwanza

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Najaribu kufikiri endapo Mayele angekuwa mchezaji wa Simba SC, redio na wachambuzi wao wa mchongo wangeimba wiki nzima, lakini hii tetesi ya mwamba kuuzwa kwa bilioni 2.8 wachambuzi wanachambua ball kimya kimya tu.

Kama tetesi ni za kweli kila la heri mwamba Fistoni Kalala Mayele.

1689533470634.jpg
 
Msimu wa 2022-2023 CAF imeshtuka sana kwa jinsi hadhi ya kombe la shirikisho ilivyoshuka. Wameona kama taasisi, mashindano yamewadharaulisha sana. Wamejiuliza vitimu vya ajabuajabu sijui Marumo, sijui Yanga vinafikaje hata nusu fainali?
ahahah dah ila wee jamaa
 
Back
Top Bottom