NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ndio biashara ya mpira, kwa mkopo ni kwa wachezaji mizigo kama Boko.Kumbe kauzwa..
Msimu wa 2022-2023 CAF imeshtuka sana kwa jinsi hadhi ya kombe la shirikisho ilivyoshuka. Wameona kama taasisi, mashindano yamewadharaulisha sana. Wamejiuliza vitimu vya ajabuajabu sijui Marumo, sijui Yanga vinafikaje hata nusu fainali?
ahahah dah ila wee jamaaMsimu wa 2022-2023 CAF imeshtuka sana kwa jinsi hadhi ya kombe la shirikisho ilivyoshuka. Wameona kama taasisi, mashindano yamewadharaulisha sana. Wamejiuliza vitimu vya ajabuajabu sijui Marumo, sijui Yanga vinafikaje hata nusu fainali?
Acha mbwembwe...Ndio biashara ya mpira, kwa mkopo ni kwa wachezaji mizigo kama Boko.
Unajua maana ya Tetesi weweweka ushahidi kwamba kauzwa 2B
Na upumbavu kabisa.Ujinga tu