Hakuna Mchezaji wa Simba SC aliyecheza anaweza Ingia Kwenye First 11 Ya YANGA SC

Dunia leo imesimama kwa sababu tu ya ubingwa wa Wananchi!
Hatari sana.
Labda dunia ya warembo wauza rasta na mawigi. Yani watu mfano tuu nchi kama misri yenye club bora wasimame kuangalia utopoolo club isiyojulikana hata hapo congo tuu hawana muda
 
Yanga inatoa shule jinsi ya kusheherekea ubingwa sio tu Tz bali Africa nzima
Huyo si rfk na yule msouth wenu yule sijui nani vile sijui Senzo au zenso? Kamshutua jamaa afanye publicty.
 
Umemeza dawa zako ...nianzie hapo kwanza
 
Hama kwanza nyumbani.
 
Aisee dah
 
Kuna kipindi niliamini katika mashabiki wa Yanga wenye akili timamu, ni demigod na Sibonike ambaye siku hizi haonekani hapa

Kwa namna kila siku unavyoandika pumba yaani, najilaumu sana kuamini vile.
Nipo ndugu yangu. Kweli sipiti sana mitaa hii siku hizi. Lakini soon nitarejea kwa nguvu zote
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…