Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
oneni aibu aiseeHuyu WanaSimba tumpe heshima anayostahiki jamani.
Chris Kope Mutshimba Mugalu ni Mnyama.
Hana mpinzani kwa magoli mangapi aliyofunga kwa ligiMugalu anaonekana mbaya kwa baadhi yetu kwasababu ndani ya Simba kuna washambuliaji wengi wazuri.
Ila Mugalu nje ya Simba ni bora na hana mpinzani.
Leo kapambana sana pale mbele kila anaekutana nae lazima augulie maumivi
Kwa style hii huko mbeleni sijui kama mtatoboa maana tulitegemea Hii mechi mshinde goal 3+ ila kawadisappointLeo kapambana sana pale mbele kila anaekutana nae lazima augulie maumivi
Ilaaaaa kapombeeeeeeeeeeeeee goaaaaaaaalllll uto wote chaliiiiii kama kunguni vileeee
Ulitegemea ushindi wa Simba SC wewe Utopolo kama nini?Kwa style hii huko mbeleni sijui kama mtatoboa maana tulitegemea Hii mechi mshinde goal 3+ ila kawadisappoint
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Hatuna shida nae kabisaKwa style hii huko mbeleni sijui kama mtatoboa maana tulitegemea Hii mechi mshinde goal 3+ ila kawadisappoint
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
πππ wachache watakuelewa πππMugalu ni forward, sio striker. Ni mzuri katika role hiyo.
Creaming ni mbaya, unadhani Hawa ni GGM Katika asfc?Kwa style hii huko mbeleni sijui kama mtatoboa maana tulitegemea Hii mechi mshinde goal 3+ ila kawadisappoint
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
muda utahukumuUlitegemea ushindi wa Simba SC wewe Utopolo kama nini?
Si ulitarajia Orlando Pirates watashinda kwa Mkapa, ili muanze kubeza.
Shida yetu kukosa cha kufanya
pole sanaHatuna shida nae kabisa
Ila pole kwa maumiv aliosababisha kapombeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Goooooooooaaaaaaaaaaaaalllllll ahahahahahahahahahahahahamananhanahanahanahanahanahanahanahanahahah goaaaaaaaalllll
creaming ndio nini sasa?Creaming ni mbaya, unadhani Hawa ni GGM Katika asfc?
Sakhooooooooooooooo goooooooooaaaaaaaaal
Hii tu tayari inadhihirisha kuitofautisha simba na utopolo.Kwa style hii huko mbeleni sijui kama mtatoboa maana tulitegemea Hii mechi mshinde goal 3+ ila kawadisappoint
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app