Duh, kijani mnaparuana... kwenda mahakamani sawa ila watu waliumizwa sio kidogoNenda mahakamani, na sio serikali ishughurikie malalamiko hewa
Nyambafu, simama kwenye hoja fisi wewe!
Mother anazingua, yeye nwenywe alizema ukizungus nakuzingua sasa yeye mboni nfio kaanza uzinguaji huyu mother namna gan kwani?Awamu ya samia imeoza kabisa.nchi imebomelewa na itatuchukua miaka zaidi ya 30 kuifikisha pazuri alipoifikisha jpm.Huyu mother wa mchambawima ni kero kwa nchi yeto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mifuko ya Sangara?? wabongo sio poaWaliokuwa wanamuabudu Jiwe mbona mnatia aibu sana ! kisa wewe mlima mihogo hukuporwa hela zako na Jiwe basi unapuuza malalamiko ya wengine , kwanza una hela gani za kuporwa wewe kapuku , nyie si ndio mliitwa wanyonge , unajua maana ya mnyonge kwa tafsiri ya kamusi ?
Nyie ndio mlizimia huku mmeshika mifuko ya sangara ? Poor You !
View attachment 2420433
Punguza ukali wa maneno mkuuAwamu ya samia imeoza kabisa.nchi imebomelewa na itatuchukua miaka zaidi ya 30 kuifikisha pazuri alipoifikisha jpm.Huyu mother wa mchambawima ni kero kwa nchi yeto
Mimi sijaona ukali wowote hapo,Punguza ukali wa maneno mkuu
Acha tu mkuu, kuna kitu kizito chenye ncha Kali kinaenda kupiga somewhere, kuna mtu ata-regret haya maamuzi siku mojahivi mfano mtu kama aliporwa labda mil 2 kiasha akasema ameporwa bil 2, nani atathitisha. mi naona mtoa mada ana point. si suala la chuki au nini ni logic tu
Usifikiri kiwepesi hivyo.Kwani umeambiwa madai yao ya kuporwa fedha hayajachunguzwa?Ukae kwa utulivu.Unadhani mkuu, malalamiko tu ya mtu yeyote yatoshe kulipwa fidia?
Embu fikiri kwa upya
Siku hizi huna adabu Mke wa Ikael siyo?Waliokuwa wanamuabudu Jiwe mbona mnatia aibu sana ! kisa wewe mlima mihogo hukuporwa hela zako na Jiwe basi unapuuza malalamiko ya wengine , kwanza una hela gani za kuporwa wewe kapuku , nyie si ndio mliitwa wanyonge , unajua maana ya mnyonge kwa tafsiri ya kamusi ?
Nyie ndio mlizimia huku mmeshika mifuko ya sangara ? Poor You !
View attachment 2420433
Wapi waliposema wamechunguzwa, na je mtu km alichukuliwa million 10 akasema alichukuliwa billion 10 nani atamkatalia? Atapewa tu bila maelezoKwani umeambiwa madai yao ya kuporwa fedha hayajachunguzwa?
FACTYou have a point. Tuhuma ya Serikali kugeuka jambazi haiwezi kumalizwa kimyakimya mezani. Haijulikani nani aliporwa pesa, nani anarudishiwa pesa zake. Ni lazima tuone nani alilalamika mahakamani, wananchi wakajua kesi iliyonguruma na hukumu ilisermaje.
Hivi inatokeaje Serikali ituhumiwe ujambazi na wananchi, bado Serikali hiyohiyo ikubali kumaliza jambo hilo kimyakimya?! Kufanya hviyo ni Serikali kukiri ujambazi. na Serikali jambazi inakosa uhalali wa kuongoza nchi kwa sababu wananchi hatuwezi kuwa na imani nayo. Duniani kote Serikali hutokana Na chama cha siasa. Kama Serikali Iliyopo madarakani imetuhumiwa kunyang'anya wananchi wake pesa Basi chama tawala kilichoweka Serikali hiyo madarakani pia ni jambazi. It's just a logic, haihitaji akili mingi kutambua Hilo.
Hapa tu Ndio mnamdhalilisha Mh Magufuli. Mngekuwa mnakubali ukweli wala watu wasingekuwa kila wakati wanasemea mabaya ya mzee maana alishatuasa tayar tumkumbuke kwa mema sio mabaya. Mi binafs kile kikosi cha majambazi kiliniita nikawekwa mtu kati. Kilichonisaidia maeneo ninayoishi. nikapata contact za kiongoz wao nikabagain nje ya bargain yao ndio kupumguziwa na kuonyeshwa namna ya kulipa taratiibu. Hata uwe na document zote halali. Wanakuambia sisi hatuhtaji hayo tumekuja tunataka hela hii. uzur mnaweza kuongea ukapunguziwa kidogo lakin kwamba hicho kitu hakikuwepo unatudanganya chief. Ulikuwa ujambaz wa kiserikali ni kama walivyopora maduka ya kubadilishia hela tu.Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi
Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma
Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao
Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?
Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?
Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania
Salamu Tanzania
Waliokuwa wanamuabudu Jiwe mbona mnatia aibu sana ! kisa wewe mlima mihogo hukuporwa hela zako na Jiwe basi unapuuza malalamiko ya wengine , kwanza una hela gani za kuporwa wewe kapuku , nyie si ndio mliitwa wanyonge , unajua maana ya mnyonge kwa tafsiri ya kamusi ?
Nyie ndio mlizimia huku mmeshika mifuko ya sangara ? Poor You !
View attachment 2420433
Asante Mkuu.Wewe taahira
Mbowe kaporwa pesa zakeAliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi
Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma
Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao
Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?
Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?
Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania
Salamu Tanzania
Wanaomkumbuka ni Watu wanaopenda Ukabila Ukanda Wahamiaji haramu na kundi kubwa la Mazezeta lisilojua tofauti ya Propaganda na uhalisia.Wazee wa legacy bado mnanguvu tu.. hamuamini kama Jiwe katangulia mbele za haki..?