Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Walianza kulipwa wale wafanyakazi hewa pamoja na wenye vyeti feki, ikaonekana haitoshi sasa wakasakwa wafanyabiashara eti wameporwa, eeeh hizo pesa zinatoka wapi au ndio hizo billion 209 msaada kutoka Germany? Tusubiri wengine kwenye mgao ni nani wengine? Watu wanatembezewa buyu la asali bado, acha waendelee kulamba