Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

Walianza kulipwa wale wafanyakazi hewa pamoja na wenye vyeti feki, ikaonekana haitoshi sasa wakasakwa wafanyabiashara eti wameporwa, eeeh hizo pesa zinatoka wapi au ndio hizo billion 209 msaada kutoka Germany? Tusubiri wengine kwenye mgao ni nani wengine? Watu wanatembezewa buyu la asali bado, acha waendelee kulamba
 
Kwani huwezi kutumia akili ya kawaida tu? Hicho kipindi hukusikia watu wakiitwa wakiri na kuahidi kurudisha kabla hata kesi zao hazijaisha kusikilizwa? Sasa ukitaka kujua ni kina nani utuambie umefatilia ukagundua hawapo na hawajapeleka malalamiko yao mahakamani?
 
Awamu ya samia imeoza kabisa.nchi imebomelewa na itatuchukua miaka zaidi ya 30 kuifikisha pazuri alipoifikisha jpm.Huyu mother wa mchambawima ni kero kwa nchi yeto
Mother anazingua, yeye nwenywe alizema ukizungus nakuzingua sasa yeye mboni nfio kaanza uzinguaji huyu mother namna gan kwani?
 
Waliokuwa wanamuabudu Jiwe mbona mnatia aibu sana ! kisa wewe mlima mihogo hukuporwa hela zako na Jiwe basi unapuuza malalamiko ya wengine , kwanza una hela gani za kuporwa wewe kapuku , nyie si ndio mliitwa wanyonge , unajua maana ya mnyonge kwa tafsiri ya kamusi ?

Nyie ndio mlizimia huku mmeshika mifuko ya sangara ? Poor You !

View attachment 2420433
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mifuko ya Sangara?? wabongo sio poa
 
hivi mfano mtu kama aliporwa labda mil 2 kiasha akasema ameporwa bil 2, nani atathitisha. mi naona mtoa mada ana point. si suala la chuki au nini ni logic tu
Acha tu mkuu, kuna kitu kizito chenye ncha Kali kinaenda kupiga somewhere, kuna mtu ata-regret haya maamuzi siku moja
 
Waliokuwa wanamuabudu Jiwe mbona mnatia aibu sana ! kisa wewe mlima mihogo hukuporwa hela zako na Jiwe basi unapuuza malalamiko ya wengine , kwanza una hela gani za kuporwa wewe kapuku , nyie si ndio mliitwa wanyonge , unajua maana ya mnyonge kwa tafsiri ya kamusi ?

Nyie ndio mlizimia huku mmeshika mifuko ya sangara ? Poor You !

View attachment 2420433
Siku hizi huna adabu Mke wa Ikael siyo?

Unachojua ni kujilopokea tu na kutukana, kisa hata huo ubunge wa kiteuliwa umebuma, unahasira?

Nimekudharau sana Kwa sasa, na ukitia maguu Kwa kunitukana ndugu, nitaondoa hata huo Uzi mwembamba wa heshima unaobaki sasa!

Usidhani Sjui matusi, ingawa siyo sifa kwangu, sijawahi kukutukana aisee, sasa unanilazimisha nianze kukuvunjia heshima we demu

Tulizana, jenga hoja!

Unadhani imekuwa rahisi kiasi hiki kwamba, kulalamika tu kunatosha mtu alipwe fidia badala ya chombo husika kujiridhisha!? Unataka serikali ishughurikie malalamiko?
 
You have a point. Tuhuma ya Serikali kugeuka jambazi haiwezi kumalizwa kimyakimya mezani. Haijulikani nani aliporwa pesa, nani anarudishiwa pesa zake. Ni lazima tuone nani alilalamika mahakamani, wananchi wakajua kesi iliyonguruma na hukumu ilisermaje.

Hivi inatokeaje Serikali ituhumiwe ujambazi na wananchi, bado Serikali hiyohiyo ikubali kumaliza jambo hilo kimyakimya?! Kufanya hviyo ni Serikali kukiri ujambazi. na Serikali jambazi inakosa uhalali wa kuongoza nchi kwa sababu wananchi hatuwezi kuwa na imani nayo. Duniani kote Serikali hutokana Na chama cha siasa. Kama Serikali Iliyopo madarakani imetuhumiwa kunyang'anya wananchi wake pesa Basi chama tawala kilichoweka Serikali hiyo madarakani pia ni jambazi. It's just a logic, haihitaji akili mingi kutambua Hilo.
FACT
 
Pointi na hapa inatengenezwa dili la kusaidia uchaguzi 2025.
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
Hapa tu Ndio mnamdhalilisha Mh Magufuli. Mngekuwa mnakubali ukweli wala watu wasingekuwa kila wakati wanasemea mabaya ya mzee maana alishatuasa tayar tumkumbuke kwa mema sio mabaya. Mi binafs kile kikosi cha majambazi kiliniita nikawekwa mtu kati. Kilichonisaidia maeneo ninayoishi. nikapata contact za kiongoz wao nikabagain nje ya bargain yao ndio kupumguziwa na kuonyeshwa namna ya kulipa taratiibu. Hata uwe na document zote halali. Wanakuambia sisi hatuhtaji hayo tumekuja tunataka hela hii. uzur mnaweza kuongea ukapunguziwa kidogo lakin kwamba hicho kitu hakikuwepo unatudanganya chief. Ulikuwa ujambaz wa kiserikali ni kama walivyopora maduka ya kubadilishia hela tu.
 
Waliokuwa wanamuabudu Jiwe mbona mnatia aibu sana ! kisa wewe mlima mihogo hukuporwa hela zako na Jiwe basi unapuuza malalamiko ya wengine , kwanza una hela gani za kuporwa wewe kapuku , nyie si ndio mliitwa wanyonge , unajua maana ya mnyonge kwa tafsiri ya kamusi ?

Nyie ndio mlizimia huku mmeshika mifuko ya sangara ? Poor You !

View attachment 2420433

Yaani tangu Mbowe alambishwe asali na Mamá basi na wewe umekuwa wa hovyo sana ktk comments zako

Haiingii akilini Serikali itake kulipa mabilioni ya fedha kisa tu malalamiko yasiyo na uthibitisho

Serikali ituambie hao waliopora ni kina nani, pesa zilizoporwa zipo wapi, walioporwa wamefungua madai yoyote mahakamani.

Hofu yangu isije kuwa ni mpango kazi wa wajanja wachache waliomshika Mamá huko Serikalini ili wapige vibuyu vya asali vya kutosha, tukumbuke Serikali inamiliki pesa zitokanazo na kodi zetu

Serikali inataka kulipa waliotumbuliwa kwa kufoji vyeti, wanaolalamika kuporwa pesa nk HUU NI MPANGO KAZI WA KIFISADI
 
Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi

Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma

Hakuna aliyeporwa na serikali fedha zake, isipokuwa kuna malalamiko ya wahuni na wajanja wajanja viongozi kutaka kuiba fedha za walipa kodi na kujitenhenezea biashara zao

Ni Nani kaporwa fedha zake na serikali?

Je, alienda kuishitaki serikali na mahakama ikadhibitisha uporaji huo?

Nchi hii ni ya wote, na wajinga wameendelea kubaki wale wale wafoji vyeti, ila Kwa sasa ni vigumu kuwahadaa watanzania

Salamu Tanzania
Mbowe kaporwa pesa zake
 
Back
Top Bottom