PreGE2025 Hakuna mfuasi yoyote wa G55 mwenye ubavu wa kupata ubunge kwa chama chochote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema.

Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Kwa jinsi wananchi na wadadisi mbali mbali waliokuwa wanafuatilia sakata hilo, wanatoa maoni kuonyesha kuwa wahusika hawana ubavu wowote wa kisiasa kuweza kuupata ubunge kwa chama chochote kingine cha upinzani, na hata wakirejea CCM bado CCM haina sababu yoyote ya kuwazawadia ubunge wa bure bure kwa maana sio wanasiasa maarufu wenye mvuto na harakati.
 
1746633367495.png
 
Sio lazima ubunge watapata UDC, U-DED na U-DAS na wengine hata ubalozi wakienda Ccm.
 
Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema.

Kwa jinsi wananchi na wadadisi mbali mbali waliokuwa wanafuatilia sakata hilo, wanatoa maoni kuonyesha kuwa wahusika hawana ubavu wowote wa kisiasa kuweza kuupata ubunge kwa chama chochote kingine cha upinzani, na hata wakirejea CCM bado CCM haina sababu yoyote ya kuwazawadia ubunge wa bure bure kwa maana sio wanasiasa maarufu wenye mvuto na harakati.
R.i.P beloved chadema, kumebaki ramli tu :BASED:
 
Sio ubunge tu, hata udiwani tu hayupo
 
Wanasiasa wa upinzani hamheshimiani.... Very wrong move...

Hao watakatifu mbaowatafuta hawapo kwenye siasa , Muda ni rafiki mzuri
 
Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema.

Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Kwa jinsi wananchi na wadadisi mbali mbali waliokuwa wanafuatilia sakata hilo, wanatoa maoni kuonyesha kuwa wahusika hawana ubavu wowote wa kisiasa kuweza kuupata ubunge kwa chama chochote kingine cha upinzani, na hata wakirejea CCM bado CCM haina sababu yoyote ya kuwazawadia ubunge wa bure bure kwa maana sio wanasiasa maarufu wenye mvuto na harakati.
Hata kama hawatapata hata udiwani, nafsi zao hazitawasuta. Kama waliweza ku survive wakati CDM kinapitia wakati mgumu hawatashindwa kufanya hivyo kama watakosa ubunge. Watakuwa na peace of mind.

Amandla...
 
wapiga kura hawako mitandaoni, wako kimya wanasubiri kichinjio.
Hakuna mtu mwenye busara wa kupigia wehu kura
 
Na huo ndo ukweli huwezi kubeba TAKA TAKA NJE ukaingiza ndani.tena kama ccm ndo hawawezi kabisa alibahatika msigwa kupokelewa vizuri ila hawa wakina nani sijui aah imekula kwao.
 
Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema.

Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Kwa jinsi wananchi na wadadisi mbali mbali waliokuwa wanafuatilia sakata hilo, wanatoa maoni kuonyesha kuwa wahusika hawana ubavu wowote wa kisiasa kuweza kuupata ubunge kwa chama chochote kingine cha upinzani, na hata wakirejea CCM bado CCM haina sababu yoyote ya kuwazawadia ubunge wa bure bure kwa maana sio wanasiasa maarufu wenye mvuto na harakati.
Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema wa Lissu anaweza kupewa Ubunge Jimbo gani? Godbless Lema, chawa promax wa Lissu anaweza kurudi Arusha kugombea? Ahahahahaha!!!
 
Hata kama hawatapata hata udiwani, nafsi zao hazitawasuta. Kama waliweza ku survive wakati CDM kinapitia wakati mgumu hawatashindwa kufanya hivyo kama watakosa ubunge. Watakuwa na peace of mind.

Amandla...
There is no peace of mind for the wicked.
Isaya 48 : 22
 
Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema.

Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Kwa jinsi wananchi na wadadisi mbali mbali waliokuwa wanafuatilia sakata hilo, wanatoa maoni kuonyesha kuwa wahusika hawana ubavu wowote wa kisiasa kuweza kuupata ubunge kwa chama chochote kingine cha upinzani, na hata wakirejea CCM bado CCM haina sababu yoyote ya kuwazawadia ubunge wa bure bure kwa maana sio wanasiasa maarufu wenye mvuto na harakati.
Huijui ccm mkuu, tulia tu yale majamaa yalishaahirisha kwenda mbinguni siku nyingi
 
Back
Top Bottom