PreGE2025 Hakuna mfuasi yoyote wa G55 mwenye ubavu wa kupata ubunge kwa chama chochote

PreGE2025 Hakuna mfuasi yoyote wa G55 mwenye ubavu wa kupata ubunge kwa chama chochote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
1746649971253.png
 
Mwisho wa zama za siasa za Chawa wa Mbowe (maarufu kama G55, njaa55) huenda zimefikia tamati siku ya leo baada ya wao wenyewe kupitia wawakilishi wao kuamua kutangaza kujitoa Chadema.

Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Kwa jinsi wananchi na wadadisi mbali mbali waliokuwa wanafuatilia sakata hilo, wanatoa maoni kuonyesha kuwa wahusika hawana ubavu wowote wa kisiasa kuweza kuupata ubunge kwa chama chochote kingine cha upinzani, na hata wakirejea CCM bado CCM haina sababu yoyote ya kuwazawadia ubunge wa bure bure kwa maana sio wanasiasa maarufu wenye mvuto na harakati.
MJOMB NIMECHEKA VIBAYA SANA. USICHEZEE ANAECHWZEA ANGA NA MAJANDAKI
 
Back
Top Bottom