Hakuna mganga wa kienyeji mkweli wote ni matapeli, kurogana hakupo, wajinga ndio waliwao

Kuamini ushirikina Karne hii ni uzwazwa wa kiwango cha SGR.
 
Ni jambo la kushangaza sana. Zama hizi maarifa yote yapo mtandaoni. Bado watu wanatapeliwa na waganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom