F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Nov 29, 2023 #1 Habari wadau. Hajua kuna watu wengi wanaamini wapo waganga wa kienyeji wa ukweli. Uhalisia waganga wa kienyeji wote ni matapeli. zama hizi za information era. ukienda kwa mganga wewe ni mjinga View: https://www.youtube.com/watch?v=3fk5Jq5sHhs&t=361s
Habari wadau. Hajua kuna watu wengi wanaamini wapo waganga wa kienyeji wa ukweli. Uhalisia waganga wa kienyeji wote ni matapeli. zama hizi za information era. ukienda kwa mganga wewe ni mjinga View: https://www.youtube.com/watch?v=3fk5Jq5sHhs&t=361s
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Nov 29, 2023 #2 Bado kijana Mdogo, hujaijuwa dunia.
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 12,599 Reaction score 26,263 Nov 29, 2023 #3 Kuamini ushirikina Karne hii ni uzwazwa wa kiwango cha SGR.
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Jan 7, 2024 #4 Dr Matola PhD said: Bado kijana Mdogo, hujaijuwa dunia. Click to expand... Imani za kishirikina ni imani za wajinga
Dr Matola PhD said: Bado kijana Mdogo, hujaijuwa dunia. Click to expand... Imani za kishirikina ni imani za wajinga
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Jan 7, 2024 #5 Bufa said: Kuamini ushirikina Karne hii ni uzwazwa wa kiwango cha SGR. Click to expand... Ni jambo la kushangaza sana. Zama hizi maarifa yote yapo mtandaoni. Bado watu wanatapeliwa na waganga wa kienyeji
Bufa said: Kuamini ushirikina Karne hii ni uzwazwa wa kiwango cha SGR. Click to expand... Ni jambo la kushangaza sana. Zama hizi maarifa yote yapo mtandaoni. Bado watu wanatapeliwa na waganga wa kienyeji